Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,019
- 159,770
Niko very stressed, almost nina zaidi ya wiki sijalala kwa mawazo.
Usiku uliopita nimeamka Saa tano tu, niko macho hadi sasa.
Niko ugenini, wenyeji wamenikaribisha nipate ahueni kidogo ya msongonongo wa mawazo
Nimeamka Saa Tano kucheki gemu ya Atletico na Real Sociadad, mpaka muda huu numeua bia zote kwenye jokofu, St. Anna chupa tatu, Windhoek chupa sita, na Martin Cinzano's moja. Jokofu jeupeeee.
Tayari msichana wa kazi kaamka na kukuta makasha tupu sebuleni.
Sijui ntapata wapi liquorshop iko wazi kabla sijatia aibu Muleba hii