Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 742
#mjumbehauawi#
Kuna comment za watu huku zinashangaza sana, unaeza ukasoma post ya mtu alafu ukienda kweny comment labda 100 unakuta zaidi ya 70 ni ........ Ni utafiti mdogo nlioufanya bt naamin kuna watu hua wanakua disappointed kwa wanavocommentiwa post zao. Utan umekua mwingi kuliko kawaida. Wenye tabia hizo jirekebishen