Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Wana bodi,
Habari za muda huu!
Ni mara ya pili kwangu kuona makundi ya watoto wa shule za msingi, madarasa tofauti wamerudishwa nyumbani kwa kisa ambacho kilielezwa kuwa ni kufuata mchango wa chanjo Tsh 1000/-
Je, utaratibu ama mpango huu ninyi mnaufahamu vyema?
Huenda mnaweza kuwa na dondoo ili tubadilishane mawazo hapa!
Karibu: