Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WANAUMME WENZANGU SOMENI HIKI KISA CHA UKWELI MUPATE KUJIFUNZA KITU NDANI YAKE. Imetokea nchini Benin Afrika Magharibi.Kijana mmoja wa kiume akutana na Mwanamke mzuri pichani akiwa njiani, na...
17 Reactions
139 Replies
21K Views
KISA cha binti mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa kutokana na miaka yake) kujitupa baharini akiwa katika boti ya Kilimanjaro V akitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar juzi, kinaanzia kwenye...
8 Reactions
103 Replies
15K Views
Wanajamii, habari za mchana..Naomba kama kuna yeyote ambaye anafahamu centres ambazo zinatoa service hii ya kufanya Logic and Psychometric Test hapa Dar anijullishe. Nimejaribu kuulizia pale...
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Vijana wengi tumekuwa na mitazamo ya kutaka kuikimbia nchi yetu na kwenda ughaibuni kutafuta maisha na wengine wakitaka kukimbia kabisa kwa nini tuwe na mitazamo kama hiyo kwa nini? Na kwa nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa nafanyakazi tarime mgodi wa North Mara miaka ya 2009/10 kwenye kitengo cha security. Kuna kijana anaitwa John tulikuwa naye kwenye kitengo cha security. Mimi na John tulikuwa tunasimamia...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
KADINARI wa KANISA KATOLIKI afate ASKOFU Ludovick MINDE. Mara tatu nakutana naye kwenye maono kwa kazi ya Kimungu. Mwaka 2001 Siku ya Uaskofisho wake pale jimbo la Kahama nilikuwepo na...
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Siku chache zimepita kituo cha mabasi ya mikoani Dodoma kilianza kufanyiwa ukarabati kwa kujenga jengo la maofisi na kuzungusha uzio ili mamlaka zikusanye ushuru vizuri. Wiki hii uzio huo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu, Mada tajwa hapo juu inahusika. Kautafiti kadogo nilichofanya kanaonesha magari yenye cc 1500 kushuka chini yanaongezeka kwa kasi ya ajabu. Hivi sababu hasa ni Je:-...
1 Reactions
106 Replies
14K Views
Wakuu naileta kwenu hivi zoezi la uondoaji sport light kwenye magari limeishia wapi au ni kwa ajili ya dar tu huku mikoani halikuwepo naomba nieleweshwe kidogo hapo
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Wananchi wa Songwe wameilalamikia serikali kwa kitendo cha kuwapelekea kondom nyingi kuliko dawa nyingine na kudai kwamba kitendo hicho ni udhalilishaji kwa wananchi.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Aslaamhaleykhum wana JF, Nimegundua watanzania tunaongoza kwa kupenda mapenzi ndo maana nchi yetu maendeleo hakuna na yaliyopo tunayapata kwa mwendo wa Kobe. Kwenye mitandao mingi ya kijamii...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari JF, Leo nimekumbuka rafiki yangu wa utotoni alipata ajali akafariki, aligongwa na kuburuzwa na lori, nimefikiria nchi yetu bado inakua, hivyo vitu kama CCTV kwa kila sehemu ni vigumu na...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Wanajamvi habari,nimeresign kazi mahali na nikawa nataka nichukue mafao yangu ili nifanye yangu lakini nimekamilisha kila kitu nahitaji kujua naweza kusubr muda gani mpk nipate mpunga
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Kitila Mkumbo amemshukuru Rais Magufuli kwa kumteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo akichukua...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Jela miaka minne kwa kufukua kaburi la albino Mbeya | Mahakama ya Wilaya ya Mbeya imewahukumu watu wawili kila mmoja kifungo cha miaka minne jela na kulipa faini ya Sh2.3 milioni baada ya kutiwa...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewatahadharisha wananchi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi na TMA, mvua...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Wiki sasa nilipata ujumbe kuwa naweza nunua hisa za vodacom kwa njia ya mpesa kupitia code *150*36# nikasema afadhali manake huku Kasoli genery hamna mawakala, nikajikunja kubofya simu mwisho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaani kinachoendelea ndani ya bunge tumekua tukisikia juu juu tu au watu wakiongelea mitaani, au mtandaoni, kwa kifupi habari za bunge sasa twazipata kwa kuungaunga, hili si sawa. Wananchi ndio...
1 Reactions
3 Replies
890 Views
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linawashikilia viongozi watatu akiwemo mwenyekiti, balozi na Kaimu Afisa Mtendaji wa kijiji cha Maninga wilayani Mbozi kwa kushindwa kutunza hifadhi ya msitu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom