Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Salamu waku
Leo nakuja na mada ambayo imekuwa ikisumbua watu wengi sana na pia kusababisha watu wengi kuanguka chooni na kufa. Wengi wamekuwa mpaka wanasingiziana uchawi kwa majirani, la hasha!Hivyo sivyo.
Jini hupenda sana sehemu iliyojificha,nikimaanisha vyoo ambavyo huwa vimefunikwa juu. Mara nyingi vyoo vilivyofunikwa, vimetawaliwa na majini.Mungu tu ndo anaueepusha haujaguswa.
Wazee wa zamani walikuwa wanajenga nyumba lakini choo walikuwa hawafuniki. Kinabaki wazi juu. Sehemu kama hiyo,jini haliwezi kujificha kwa sababu siyo mafichoni tens, juu kuko wazi.Jini haliwezi kukaa sehemu mbaya ambayo juu kuko wazi liwe linapigwa na upepo.Hata wewe mwenyewe huwezi kuvumilia.
Na ukifuatilia vzr, watu ambao huwa wanadondoka chooni huwa lazima wafe (% kubwa) na asipokufa hatarudi kwenye mood yake ya zamani. Na wote ambao huondoka vyoo vilivyofunikwa hufa kuliko wale wanaotumia vyoo vya wazi. Sijasema kwamba ufumue chpo chako,la hasha.
Mwenye akili na asikie na atekeleze ushauri.