Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Jinsi ya kutawala Uchumi kipindi cha JPM by *Mr Erick J Shigongo*
*1.MANTAIN FOCUS AND HAVE POSITIVE MENTAL ATTITUDE*
-Pamoja na yote yanayotokea usibadilishe mtazamo wako wala ndoto zako. Endelea kuamini ndoto yako itatimia
Hakuna kitakachobadilika Kama ukiendelea kulalamika Na kulalamika
Kubali kweli mambo yamebadilika then jiulize nifanye nini?
*2.DONT MOVE AGAINST THE DIRECTION OF THE RIVER FLOW*
Kila uongozi unakuja na namna yake ya kufanya mambo.
Usibishane na utawala
Hakuna mfanyabiashara amewahi kushindana na administration akashinda
Tii sheria, lipa kodi
Fanya kazi kwa nguvu, acha uvivu uvivu
Kwenye kipindi hiki hakikisha unatafuta taarifa sahihi Na unazijaza kichwani
Explore new possibilities
Ili ubongo wako ukuletee majibu unatakiwa uwe na taarifa nyingi sahihi(invest in ur mind by reading books)
*3.LEARN HOW TO LEAD YOURSELF AND OTHERS*
Hakuna shida Itadumu milele, hata hiki kipindi kitapita
Come down, motivate and inspire
Nawe jihamasishe ikishindikana Jilazimishe
Maintain ur good character
Kuna wakati huitaji mamilioni unahitaji tabia njema
*4 .EXPAND YOUR NETWORK*
Achana na watu wa hovyo hovyo kwenye maisha yako. Pengine alikufaa kipindi cha kikwete ila saiv anaweza asikufae
In this new era connect to right people, connect, ask questions
Wapo watu ukiwaingiza kwenye maisha yako yatabadilika kabisa na Kuna watu ukiendelea kiwashikilia hutafika mbali
*5.DOWNSIZE YOUR SPENDING*
Punguza matumizi yako katika kipindi hiki
Bana matumizi kinachobaki wekeza, create multiple sources of income
Matumizi yako yasizidi mapato
*6.GIVE GENEROUSLY*
Give to poor
Give to ur church
Give, give, give
Heri kutoa kuliko kupokea
God bless cheerful givers
*7.OBEY GOD*
The most principle ktk kipindi hiki cha Magufuli ni kumtii Mungu coz Mungu hawezi kukuacha kama mtoto wake uteseke
Hatufanikiwi sababu tuna akili.,network au sababu tunasoma Sana vitabu Lakini kwa sababu ya neema ya Mungu
So obey God
Be blessed