Hawa wenzetu wa ulaya kwa nini wapo hivi.
1. Kundi la waafrika ulaya- wakimbizi
2. Kundi la wazungu afrika - watalii
3. Kundi la waafrika msituni- majangili
4. Kundi la wazungu msituni- wawindaji...
Mtu anatumia muda wake kuja kuazima kitu kwako,na pengine kwa ajili ya tukio fulani tu lakini tukio linapita na bado hakurejeshei..
Kwa mfano mwamvuli kwa ajli ya mvua; inaisha na harejeshi.
Begi...
World's 8 superb lessons
worth sharing JF members
--------------<>-------------
Shakespeare:[emoji108]
"Never play with the feelings of others because you may win the game but the risk...
Najua wengi mtashtuka na wengine kunipinga hadi kunibishia ila kwa ushahidi wa jicho la Tatu na la msaada wa Wataalam wa Saikolojia na Wabobezi waliotukuka kwa Utambuaji wa Mtu / Watu yule Mtu...
Salaam wadau!..
Najua wote mnajua mchezo wa mpira,ni mara chache sana referee akatoka upande wa moja ya team zinazocheza akafuata sheria zote bila ubinadamu kumtesa.
Tumeshuhudia mareferee...
Katika kuazimisha wiki ya jumuhia ya wazazi CCM, leo wamezindua mchango wao wa tofali elfu moja walioutoa katika shule ya sekondari ya wasichana Kagango. Mgeni rasmi alikuwa mjumbe wa kamati kuu...
Habari ndugu zangu, amani iwe kwenu.
Maswali kwa Hon Nchemba.
1.Ni kikundi gani chenye uwezo wa kuchukuwa watu kwa nguvu na serikali ikakaa kimya?
2.Ni kikundi gani kina uwezo wa kuchukuwa...
Since our origination, Illuminati members have guided Earth’s most dominant creature through periods of interpersonal chaos, environmental outbreaks, and other mass attacks that threaten humanity...
Mimi huwa nachukia Sana kuona watunga SHERIA Hawa, ndio wanaoongoza kwa kukiuka SHERIA wanazozitunga wenyewe, hivi kwanini wabunge wasipimwe ili kuona athali za madawa ya kulevya kwa Hawa...
Tarehe 7 April ya kila mwaka Shirika la Afya Dunia (WHO) liliazimia iwe ni siku ya kuadhimisha Siku ya Afya Duniani na mwaka huu wamechagua kuongelea msongo wa mawazo au depression ambao ni...
Ni mara kadhaa sasa ni utafiti ninaoufanya kwa miaka kadhaa
Nimegundua tigo wanamchezo wa kusikiliza na kusoma mazungumzo ya watu .
Mara nyingi ninapotoka tu kugombana kwa njia ya simu ya...
Kampuni ya nishati ya BP imeamua kumpunguzia mshahara mkurugenzi wake Mkuu kwa 40%,ambapo alikuwa anapokea us $19,000,000/= kwa mwezi, kutokana na wanahisa wa kampuni hiyo kulalamikia kiwango...
Kipindi hiki huwa hewani kila jumatatu baada ya taarifa ya habari mpaka mida ya saa nne usiku.
Kipindi hiki kilipata umaarufu zaidi enzi za mtangazaji mmoja aliyekuwa kwenye timu ya kampeni za...
Wakuu napenda kujulishwa hivi mwenye nyumba ambaye si mfanyabiashara anatakiwa kuwa TIN ili aweze kumpangisha mtu kwa mkataba? Au kutoa asilimia 10 za Withholding Tax tu inatosha?
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa sana, yapata masaa 27 sasa hakuna tamko lolote kutoka kwa polisi, basata hata waziri wa dhamana Mwakyembe.
Roma ni msanii pia mwanadamu, anafamilia na...
Kaka hicho unachofanya hutofanikiwa hadi patengenezwe hapo na wataalamu,
Siku nyingine jamaa kaja na mkwara mwingine "acha mambo ya kitoto, waone wataalamu "
Wataalamu = waganga
Kwanini uchawi...
Assalam
Mwili wa husna Issa Abdallah umewasili nchini Tanzania na sasa upo kondoa mazishi ni leo.
Husna alikusukumwa na boss wake toka gorofani jambo lilosababsha umauti wake.
Hadi sasa serikali...
Mzee huyu kawa kimya mno kwa nini? Miezi kadhaa kila lililopita alihoji lakini kwa sasa yuko kimya kama Dr.Wa upasuaji,kimya hiki ni underground movement au nini? Hata kama ni mikakati sasa...
Wakuu habari zenu, naomba msaada wa utaratibu,kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu naomba nisaidiwe utaratibu au ni jinsi gani naweza kuonana na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa.
Ninaomba sana au anae...
Hatimaye Klabu ya Simba SC imelipa kodi iliyokuwa inadaiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya nyasi bandia walizokuwa wamezitelekeza bandarini mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.