Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,229
- 23,916
JANA: Prof. Kitila Mkumbo (ACT).
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
"Huu utaratibu wa kuwateua wasomi tu ambao ni walimu na wanataaluma kutoka vyuo vikuu hasa Chuo kikuu cha Dar es salaam si mzuri maana rais haoneshi kuwaandaa wengine kuchukua nafasi zao, tuachwe wasomi tufanye kazi za kitafiti na kitaaluma"
LEO: Prof. Kitila Mkumbo (ACT).
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
"Ukishapewa kazi na mkuu wa nchi, unaipokea na unaifanya kwa bidii kama yalivyo matarajio, kwahiyo nimepokea uteuzi, nimekubali, mkuu wa nchi akikupa kazi utaikataa vipi, mkuu wa nchi akikupa kazi unaifanya, kumbuka mimi ni mtumishi wa umma"
Unawaelewaje wanasiasa wa aina hii barani Afrika?