Mafunzo ya Don Bosco

makondekoujiji

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
384
499
Habari wakuu ,

Juzi kwenye tamasha la xxl Dodoma nilisikia serikali inampango wa kusomesha watz 820 ktk fani mbalimbali.

Nilipoulizia mchakato ukoje nikaambiwa tayari tangazo limesha toka na mwisho wakutuma maombi ilikuwa ni 30 march.Pia waliochaguliwa watapigiwa cm Leo tarehe 10.April.

Sasa nauliza je wameshaanza masomo?Au wameshaitwa waliochaguliwa?

Ahsanten
 
Wapendwa Don bosco oysterbay wametangaza nafasi za kusoma bure masomo ya jioni kwa faini ya ushonaji, uchomeleaji, ufundi seremala, ukataji vyuma( filter mechanics) na computa. Ni kozi ni za bure kuanzia jioni. Km unandugu au rafiki au mtu yoyote unataka kumsaidia kimaisha mwambie aje achukue form. Mwisho ni tarehe 30/3/2017. Wameingia mkataba na serikali. Muda ni Mwaka mmoja. Form zinatolea kuanzia asubuhi SAA mbili mpka SAA kumi na nusu mwisho. Karibuni

Kama hukuliona tangazo pole
 
Leo ni tarehe 10/4/2017. Kwa nini mwisho uwe ni 30/3/2017? Na huo mwisho ulikuwa ni wa kuchukua form au kurudisha hizo form?
 
fbbe638a4fbf5b4715a224a344bc6a04.jpg

Kuna mtu kanirushia Hilo tangazo
 
Wapendwa Don bosco oysterbay wametangaza nafasi za kusoma bure masomo ya jioni kwa faini ya ushonaji, uchomeleaji, ufundi seremala, ukataji vyuma( filter mechanics) na computa. Ni kozi ni za bure kuanzia jioni. Km unandugu au rafiki au mtu yoyote unataka kumsaidia kimaisha mwambie aje achukue form. Mwisho ni tarehe 30/3/2017. Wameingia mkataba na serikali. Muda ni Mwaka mmoja. Form zinatolea kuanzia asubuhi SAA mbili mpka SAA kumi na nusu mwisho. Karibuni

Kama hukuliona tangazo pole
Mkuu inamaana unaenda kuchukua fomu tu au mpaka ukubaliwe baada ya kutuma barua ya maombi?
 
Back
Top Bottom