28mkorinto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 416
- 204
Hiki chama cha wafanyakazi kinajiita tucta kiliopa serikali siku kumi na NNE kusitisha kukaaa wafanyakazi asilia 15% ya mkopo wa bodi ya wanafunzi mpaka sasa kimyaaaa. Nyamafu sijui wa nadhani tumesahau tunawaangalia tu.