Vipi kama hii adhabu ingekuwepo Tz

simplehamis

Member
Feb 20, 2017
28
27
Kujichua(Masturbation) ni kosa nchini Indonesia na adhabu yake ni kukatwa kichwa.

===================================================
Indonesia: decapitation
Most search results would have you believe that "the penalty for masturbation in Indonesia is decapitation". But hold your … er … horses! A formal query made to the secretary of information at the Indonesian embassy reveals that according to Article 281 of national law, the maximum sentence is 32 months' imprisonment.

Source; theguardian.com
 
Tz wote tungekwisha, I expect few people ndo tungepona.
Aaaaaaaaaahhhh.

Na ile adhabu ya madereva wanaoendesha vyombo vya moto huku wamelewa kulazwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa masaa 24 sijui ingekuwaje ingeingia bongo?
 
kweli tungebaki wachache
 
Kwani nani anakuona wakati una Masterbate? Hata shetani mwenyewe hakuoni... Labda hapo wanazungmzia wapenzi kuchuana pasipo kutafunana...

cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom