Ndoto juu ya kobe mwenye gamba la chuma

Reven Mikoko

Member
Mar 19, 2017
9
1
Roho ya MUNGU ndio hutafsiri ndoto
Kobe huyu mwenye hili gamba la chuma hujivuna na kupita kwenye MOTO MIIBA NA JUA KALI kwa malingo akijua kuna Gamba mgongon limkingalo na adha zote
Baada ya kukingwa na adha mbalimbali na kuwa salama hapo ndipo gamba liliishia kuonesha uchuma na uimara wake bila kuyeyuka

Katika ndoto nalimwona Kobe akipita katikati ya Moto mkali ndipo ule moto ukafula na kutoa miale mikali kwa hasira juu ya KOBE NA JUU YA GAMBA kwan KOBE NA GAMBA LAKE LA CHUMA walijigamba ckuzote ktk ndoto hiyo ndipo nkamwoona GAMBA LA CHUMA AKIKOSA KUVUMILIA NA KUMKINGA BWANA KOBE na kuanza KUYEYUKA

KUYEYUKA KWA GAMBA KUKAMLETEA MADHALA HATA wale rafk na waliokalibu na kobe wachache walipata matatizo cio hao tu hata waliokuwa wakiutetea moto usizime juu ya KOBE waliangukia juu ya chuma
TAHADHALI
STOPING DREAM STOPING FUTURE NO BODY KNOWS TOMORROW NO BODY CAN STOP FUTURE
KOBE TAKE CARE moto unaoufuata ni Mkaliiii(Reven mikoko man pizza)
0f2edcb4ef02aac14d1ebeb542c10401.jpg
 
Back
Top Bottom