Godwin123
Member
- Feb 18, 2017
- 88
- 54
Naomba kuweka mada hii mezani,
Nashindwa kuelewa sisi watanzania tumelogwa na nani tunashindwa kujadili maendeleo yetu sisi na wanasiasa tunaowategemea kila siku ni kesi mahakamani haziishi na vijana sasahivi ndo usiseme kila siku ni matukio ya kuita PRESS hivi hizi kiki zenu zitaisha lini?
Je wa huko mikoani wataita press za wapi kutoa malalamiko yao?