Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habar za ucku huu wadau nina omba msaada kwa wale ambao wanaweza wakawa wanaelewa juu ya tatizo hil,nkikuwa nmeinstall gta nikacheza mda flan nka istpisha xax betri ilipoisha chaji ikaizm pc so...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Mwili wa Boniface Pius, mkazi wa Chanika aliyefukiwa na kifusi katika machimbo ya Kigogo Fresh, umezikwa katika kifusi kilichomfukia baada ya juhudi za kuutoa mwili wake kukwama. Pius alifukiwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mh. Rais wangu na watanzania waliokuchagua. Chapa kazi. endelea kutimiza ilani ya chama. usisikilize ya mitandaoni.Mara jana shyrose - mtukana ovyo. Kesho Bulembo na bintiye. Kwani unapoingia...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Heshima kwenu Wakuu! Nimejaribu kusikiliza wimbo wa Diamond mara kadhaa has a baada ya kusikia sakata lake na Gwajima. Kuna vitu kadhaa nimejifunza. 1. Wa Tanzania tulio Wengi tunapenda mipasho...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilimshangaa na kumdharau "Kazi" Ndugai kuagiza kukamatwa na kupelekwa bungeni Halima Mdee huku akiwa amefungwa pingu. Sheria zetu za Tanzania ziko wazi kuwa mwanamke asifungwe pingu (women should...
28 Reactions
233 Replies
21K Views
Mvua kubwa iliyonyesha/inayonyesha imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa Bukoba hasa wale wanaoishi pembeni ya mto Kanoni baada ya mto kufurika maji na kuanza kuyatema kwenye makazi ya watu na...
0 Reactions
83 Replies
60K Views
Nimefurahishwa sana na uchezaji wake unaohimiza kilimo na kuchapa kazi.
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Jamani ni mie tu au na wenzangu mmekumbana na shida ya kununua LUKU?Aliyefanikiwa anipe ujanja.
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Haya mambo mbona yanavuka mipaka,. Umaarufu unatafutwa hata kwa mipango ya kitoto kabisa na kupitia watoto wadogo. Halafu kingereza cha RC ni kibovu kupita maelezo. TBC .
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi kama tuna nia ya kujenga nchi kwanini tusianzishe miradi mikubwa ya mashamba ya umwagiliaji? Ardhi ipo, mito maziwa etc.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kweli njaa ipo, wananchi jamii ya wafugaji (wasukuma) ktk wilaya ya Ulanga wamefikia hatua ya kutumia unga wa ngano kama unga wa sembe kwa kupika ugali na matumizi mengine kutokana bei ya unga wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukio la kusikitisha wakati familia kadhaa za watanzania leo huko Leo mkoani Mara katika ufukwe wa ziwa Victoria imeokotwa maiti ya mtu mmoja asiyefahamika ikiwa imetupwa ziwani. Mazingira ya...
2 Reactions
125 Replies
17K Views
Wakuu Kwa sasa mitandao ya kijamii inafanya kazi kubwa kwa kuhakikiaha watanzania wanapata kile wanachokihitaji kwa kukipigia kelele Ilianza kwa Nay tukapaza sauti kwa pamoja ikafanikiwa Sasa ni...
2 Reactions
7 Replies
857 Views
Hatimae shirika la Afya Duniani lathibitisha ramsini, kwamba kuwa kapera ni sawa na ulemavu It's Official: Being Single Is Now A Disability, WHO Confirmed It’s Official: Being Single Is Now A...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo kamanda wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro pamoja na mambo mengine ikiwemo watu kukaa kwenye maeneo salama na ulinzi shirikishi, mauzo ya CD's kwenye nyumba za ibada...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Kuna matukio Yanatokea nchini Mwetu ambayo kwa haraka haraka sio Tabia za Mtanzania/Kitanzania kipindi cha nyuma hata kama yalikuwepo ni kwa uchache sana ila kwa sasa hapana too much. Isifike...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania linaweza kupitisha azimio la kumtoa Rais madarakani kwa mujibu wa Ibara ya 46A ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa kufuata utaratibu ufuatao; 1. Rais lazima awe...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi, Kuna watu hawali chakula cha nyumbani, wakashiba, au chakula ni cha kushibisha lakini hawana hamu ya kula nyumbani, ili hula huko nje, wakirudi nyumbani ni kujilalia tuu, kwa sababu...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Play "Ambush In The Night" "Ambush In The Night" (Ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!) See them fighting for power (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!), But they know not the hour (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!),; So...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Nilsubili kwa hamu sana kusikia msimamo wa viongozi wetu wa UVCCM na kauli yao juu ya swala la kuvamiwa na kutekwa kwa wasanii na kisha kuonekana wakiwa ktk hali isiyo ya kawaida...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom