Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshima kwenu wakuu, Usiku wa kuamkia leo, Polisi Mjini Makambako wameua Jambazi baada ya kurushiana risasi. Polisi wa Doria walipata taarifa kwamba majambazi wanataka kuiba katika kituo cha...
2 Reactions
69 Replies
14K Views
Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo. Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini. Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu. Pia...
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Juzi nilikuwa ninapita barabara ya Mandela, Dar es salaam. Foleni ilikuwa kubwa sana majira ya saa 6-7. Nilivyofika maeneo ya Tabata nikaamua kupita ile njia ya kushoto nikatokee Msimbazi Centre...
1 Reactions
2 Replies
773 Views
Anaandika Malisa Godlisten Juzi Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mhe.Freeman Mbowe aliwasilisha hoja kujadili hali ya usalama wa nchi kuzorota, kufuatia matukio ya utekaji, utesaji na mauaji...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
KIJANA WA MIAKA 15 APIGWA RISASI NA KUPOTEZA MAISHA NA ASKARI WA SUMA JKT WANAOLINDA MSITU WA MERU OLMOTONY NGARAMTONI WILAYANI ARUMERU Maandamano ya wananchi wa Kijiji cha Lenjani Kata ya...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Rais wetu tunaomba ulitazame hili kwa jicho pevu. Nakuunga mkono 100% kwa juhudi unazofanya kujenga viwanda, Reli (Standard Gauge, kuziba mianya ya rushwa, kuthibiti mchanga wa madini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wenzangu kama mnavyojua hakuna mtu aliyejuu ya sheria lakini cha ajabu ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma zisizopungua 4 lakini hadi leo bado yuko ofisini. Je...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Story ya mbuzi wa dar kuzurula na kuvuka wenyewe kwenye zebra imeandaliwa na bbc na kurushwa na bbc asubuhi ya leo tarehe 13/04/2017. Lakini kwenye amplifaya ya clouds na huyu dada plus milard ayo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Inakuaje polisi aliemaliza lindo anauwawa....nnachokiona hapa ni visasi vya mda mrefu. Either kati ya jeshi la polisi na majambazi au watu wwte wasiopenda uwepo wa jeshi la polisi ama kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
President awe Mwigulu Nchemba Vice President awe Dkt. Harrison Mwakyembe Prime Minister awe Paul Christian Makonda Kwangu Mimi naona kama vile nchi itapiga sana hatua ya kimaendeleo hadi...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mods naomba musiunganishe huu uzi na wa majina ya walimu wa ajira mpya! hapa naomba iwe sehemu ya walimu wenyeji kuwakaribisha wageni, ikiwezekana na kuwapa A, B, C za shule wanazoenda kufundisha...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Habari wakuu..! Mtu unapokuwa Na jeraha, jipu au kidonda kwa kawaida huwa Kuna maumivu wakati wa mwanzo wa kitu hicho,.( kuanzia hatua ya kwanza kuelekea kupona) Binafsi sipendi kuwa Na vitu...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Binafsi nimewahi kushuhudia KIPAPAI KIZITO SANA....... nakumbuka wakati tupo Nyansaka-Mwanza kunadogo mmoja aliiba maembe ya bibi mmoja ambaye alikuwa anaogopwa kata nzima kwa ajiri ya natural...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rais kazinɗua ujenzi reli ya treni za umeme wazazi wenye hela hata kama hamna hela kopeni pelekeni watoto nje kusomea uenɗeshaji na ufunɗi wa treni za umeme ili mraɗi ukiƙamilika mshike...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa...
9 Reactions
128 Replies
13K Views
Ni baada ya kuwekwa kwenye kila bajeti toka mwaka 2013/2014 hadi mwaka 2016/2017 pasipo mafanikio. Nina imani sasa hii barabara siyo kwamba itaegeshwa tena kama miaka mingine iliyopita. Ni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kaaanga!!!!!.?????? Aise hapana nunueni taulo wakaka elfu 10 tu taulo.
8 Reactions
116 Replies
13K Views
Wadau naomba msaada jinsi ya kuandaa procurement and distribution plan
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…