Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura.
Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo...
Balozi wa Msumbiji nchini Bi Monica Patricio Clemente akizungumza na viongozi wa TCCIA walioongozana na Makamu wa Rais-Viwanda Bw. Octavian Mshiu wa kwanza kulia, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Gotfrid...
Wakuu na Wale wataalam wa physics tusaidieni hapa ili jaribio la Korea ya kaskazini la bomu la kinyulya vipi wafrika halitatuathiri? Maana Duh uhai mtamu wakuu
Dunia inaenda kasi sana. Wanawake Wakristo Tanzania niwaombe zaeni bila kuogopa kwa sababu watanzania bado tupo 45M.
Lakini nimeexperience miaka ijayo makanisa yatakosa watu kwa sababu wamama...
Hivi kwa nini wabunge wasipeleke mswada wa sheria Bungeni itakayoibana serikari kwa kila mkataba wanaotaka kuingia
1:waweke sheria kila Mkataba mpya kabla ya kusign serikari inatakiwa kuijadili...
Jamani hivi mini umuhimu wa cag, kama kila mwaka anakagua anatuambia ubadhirifu umefanyika hapa na hapa then no more further action? Ni kulipotezea taifa pesa kwa kua na utitiri wa wafanyakazi au...
Umofia Kwenu wana JF,
Muuguzi kutoka Mara amehukumiwa kwenda Jela Miaka Mitatu au Faini ya laki 6 kwa kosa la kugushi Cheti cha elimu ya sekondari na kukitumia kupata ajira.
Mshtakiwa huyo...
Dar es Salaam — Vodacom is reportedly considering an extension of the deadline for the sale of its shares to the public, amid reports the initial public offering (IPO) may be undersubscribed...
Wana JF,
Inaonesha kwamba Polisi wa kanda maalumu ya Dar es salaam chini ya Kamanda Sirro wameshindwa kudhibiti matumizi ya waziwazi ya Madawa ya Kulevya Eneo la Mwenge Jijini Dar es salaam...
Mtendaji wa kijiji cha Mjawa na mwanakijiji mmoja wameuawa na wale maharamia walioua askari nane majuzi.
Hili tatizo ni kubwa mno, Serikali, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitumie umakini...
Wanabodi.
Kwanza namshangaa Rais wa nchi kuonesha ubaguzi wa wazi kabisa kwa watoa huduma binafsi , amekua na maneno ya kuudhi na kejeli kila akitoa hotuba kwa watoa huduma wa umma , alianza na...
April 10, 2017
KIPINDUPINDU KUIBUKA SOKO LA MABIBO DAR ES SALAAM
Soko la wazi la kitongoji cha Mabibo jijini Dar-es-Salaam katika hatari ya kuzua kipindupindu kutokana na mvua zinazoendelea...
Habari wanaJF
Ningeomba kufahamishwa ni kwanini Matiti ya mwanamke hupoteza thamani yake (kama sehemu ya siri ) baada ya kujifungua mtoto. Maana kuona ziwa la mwanamke ambae hanyonyeshi ni sawa na...
Katika kongamano la kumuenzi mwalimu lililofanyika kule Kivukoni alitambulishwa mzee mmoja silikumbuki vizuri jina lake lakini linaelekea kama KASOLI vile; huyu mzee alitoa ushuhuda jinsi...
Askofu Gwajima angeeleweka zaidi kama angewasamehe wote msingizia, kumlaza mahabusu na kumpekuwa kwa dhana kuwa alikuwa anajihusisha na madawa ya kulevya kumbe sio. Heshima yake ingeenea duniani...
Gharama zimezidi kila eneo naomba nitoe mfano wa makampuni ya simu zamani ukinunua bando la muda wa maongezi unapewa na mda wa inter net na sms.
Lakini leo mda wa maongezi una gharama zake inter...
baba: mwanang naskia ajir zimetoka mbona we huna raha
mtoto: izo ni sayans na hisbt mi nilisomea sanaa
bab: kwanin hukusomea sayans na hesbt mwanangu?
mtoto: unakumbuka kipindi nikiwa o level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.