Ukipata nafasi ya Kuongea na Mama Janeth Magufuli utamwambia nini?

Status
Not open for further replies.

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,411
3,804
Wakuu,
Endapo ukapata nafasi ya kuzungumza na mke wa Rais Magufuli, utamwambia nini?
Au ukapata nafasi ya kumuuliza swali utamuuliza nini?

Karibuni.
3e6d3083411366ef4f5881809beffe69.jpg

8c00c9c3db398e00974d1f7edeab7c40.jpg
 
Wakuu,
Endapo ukapata nafasi ya kuzungumza na mke wa Rais Magufuli, utamwambia nini?
Au ukapata nafasi ya kumuuliza swali utamuuliza nini?

Karibuni.
3e6d3083411366ef4f5881809beffe69.jpg

8c00c9c3db398e00974d1f7edeab7c40.jpg

Maswali yangu Kwake yatakuwa hivi:
  1. Ni kwanini hajiamini hasa katika uzungumzaji wake?
  2. Ni kwanini anapenda mno kucheka cheka hata mahala pasipotakiwa yeye kufanya hivyo?
  3. Ni kwanini anaonekana anonekana huwa kama vile anailazimisha furaha awapo katika hadhara?
  4. Je Yeye Kipaumbele chake ni kutoa tu misaada kwa Wazee na Wagonjwa na kwingineko hakumuhusu?
  5. Kuna nini ambacho anacho moyoni mwake kinamsumbua kwani hata Kisaikolojia tu anaonekana hayuko sawa?
  6. Ndani ya miaka hii miwili ya Mumuwe Madarakani ana lipi la kujivunia katika Kuwainua na Kuwaunganisha Wanawake wote nchini Tanzania bila kujali Elimu, Siasa, Dini, Rangi na Kabila?
  7. Je ana maoni gani juu ya Uteuzi wa aliyekuwa Mama wa Taifa ( First Lady ) mwenzake Mama Salma Kikwete wa kuwa Mbunge wa Kuteuliwa?
 
Ningemuuliza huo uvumilivu ameupata wapi wa kumvumilia dereva wa lori ambae haambiwi, hashauriwi, haangalii wala hasikilizi kelele na nyimbo za abiria wake!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom