Ni wazi hawa Arts teachers wengi ni kutoka poor families

1muislamsafi

Member
Mar 18, 2017
9
6
baba: mwanang naskia ajir zimetoka mbona we huna raha
mtoto: izo ni sayans na hisbt mi nilisomea sanaa
bab: kwanin hukusomea sayans na hesbt mwanangu?
mtoto: unakumbuka kipindi nikiwa o level nilikwambia kuna mwalim mmoja tu wa masomo ya sayan shule nzima na nikakuomba pesa ya tuition ukasema ada yenyew inakushinda?
baba: nakumbuka mwanang we mwenyew unaiona hali yetu ya umaskin
mtoto: niliamua kusoma kwa bidii masomo ya sanaa kwan kulikuwa na walimu na nikafanikiwa kumaliza chuo kwa mkopo wa kikwete!
baba: rais wetu amesema anajal maskin na anajua umaskin ndio sabab ya kusomea sanaa kwako mbona kakusahau mwanang? huku machoz ya kimtoka
NI WAZ HAWA ARTS TEACHERS WENG NI KUTOKA POOR FAMILIES SO UKISEMA UNAWASAIDIA MASKIN UNAPASWA KUWAANGALIA HAWA KWA JICHO LA TATU!
 
uhalisia ni kuwa shule nyingi za serikali hazina walimu wabobezi wa sayansi, hasa shule za kata. unategemea nini kutoka shule kama hizo ambapo hata ukimwuliza mwanafunzi wa kidato cha 4 akuchoree mchoro wa bunsen burner au amoeba hajui... tusitegemee miujiza from nothing, yaani unataka uvune wakati hujapalilia shamba. nadhani ni muda mwafaka wa serikali na kuwekeza kwenye sayansi
 
tatizo lingine ni uhaba wa vitendea kazi, maabara. Masomo ya sayansi yanafundishwa kinadharia "theory" badala ya kivitendo "practical"
 
Mtoa uzi upo sahihi lkn subiri wa buku 7 waje. Hao 2 wajuu ni wale wa buku 7 za pole pole. Wengine wanakuja.
Tanzania hii ishakuwa nchi ya kijinga sana halafu wanahimiza kuwa mzalendo. Ni ujinga kbsa
 
Rafiki yangu anaishi na mama yake tu na kasomea ualimu wa arts kaachwa..huwa naumia sana nikiona maisha yake...[HASHTAG]#kimlielekezemojauku[/HASHTAG]
 
Kiroho safi kabisa jamani bila matusi,miaka 6+ 3 ya chuo,mwanangu hujaona fursa hata kwenye shule za wakimbizi kweli!au unanitania? Sasa kuna faida gani ya kukupeleka shule si bora tungelima magimbi tu hapa.
 
inaumiza sana cz mtu kaandaliwa na mtaala wa kuajiriwa leo hij kaachwa plan b must take action
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom