Kitaalamu hivi ili jaribio la bomu la nyuklia kutoka Korea ya kaskazini halitatuathiri waafrika?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,601
1,171
Wakuu na Wale wataalam wa physics tusaidieni hapa ili jaribio la Korea ya kaskazini la bomu la kinyulya vipi wafrika halitatuathiri? Maana Duh uhai mtamu wakuu
 
Wanajaribishia intercontinental missile,means linaweza piga bara moja hadi jingine,
lakini wanapojaribishia kama wanafanyia juu ya ardhi hawawezi kulipachika kichwa cha nyuklia bali wanajaribishia kombara lenyewe minus warhead likifanikiwa ndo wanajua kuwa wakiweka kichwa chake litakubali,so wanaweza kulijaribishia kwa kuweka convertion warhead na sio nuclear warhed kwahiyo halina madhara kivile
 
i can't wait to see the Nuke wars oough... am sure itakuwa awesome:):rolleyes:
 
Wanajaribishia intercontinental missile,means linaweza piga bara moja hadi jingine,
lakini wanapojaribishia kama wanafanyia juu ya ardhi hawawezi kulipachika kichwa cha nyuklia bali wanajaribishia kombara lenyewe minus warhead likifanikiwa ndo wanajua kuwa wakiweka kichwa chake litakubali,so wanaweza kulijaribishia kwa kuweka convertion warhead na sio nuclear warhed kwahiyo halina madhara kivile
Sasa hawa marekani mbona wamesema wakijifanya kujaribisha watalitungua hewani. Swali lipo apa marekani wanawazuia kwa nini? Kama halina madhara?
 
Wee mwache tu huyu siku zake zinahesabika
Sio rahisi kivile. Huyu jamaa hasomeki hivyo sio rahisi kumvamia kijeshi.
Mipaka yake sawa na imefungwa kwani hana mahusiona ya kimataifa. Ni vigumu kumsoma jambo linaloleta ugumu kumshambulia, ni vigumu kupigana na adui usiyemjua nguvu na udhaifu wake
 
Wanajaribishia intercontinental missile,means linaweza piga bara moja hadi jingine,
lakini wanapojaribishia kama wanafanyia juu ya ardhi hawawezi kulipachika kichwa cha nyuklia bali wanajaribishia kombara lenyewe minus warhead likifanikiwa ndo wanajua kuwa wakiweka kichwa chake litakubali,so wanaweza kulijaribishia kwa kuweka convertion warhead na sio nuclear warhed kwahiyo halina madhara kivile
Wewe jamaa inabidi tukufatilie ..huu ujuzi umeutoa wapi
 
Back
Top Bottom