johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,029
- 164,301
Source Tanzania Daima.My take,je ndivyo Biblia inavyofundisha?
Source Tanzania Daima.My take,je ndivyo Biblia inavyofundisha?
Wewe huna akili kabisa, mbinguni unaenda mwenyewe au unapelekwa na mchungaji?Wanaoamini huyu mropokaji atawafikisha mbinguni wapimwe akili
Mmh mkuu,mkuu umesahau mke wa Ruthu?aligeuka chumvi alone.Wewe huna akili kabisa, mbinguni unaenda mwenyewe au unapelekwa na mchungaji?
Yani umekaa hapo umetulia unangoja mchungaji akupelke mbinguni? By the way kuna option ya mchungaji kukupeleka mbinguni ikiwa tu wewe ni mke wake.
Maana biblia inasema mke atabeba madhaifu ya mume na mume madhaifu ya mke katika kuombeana, hao wanaweza kufkshana mbinguni, sasa wewe unataka mchungaji akufikishe mbinguni umekua mke wake?
Kama hiyo ofa unaitaka mimi pia ni mchungaji, i am willing and able to take you there,je uko tayari?
USIUE ni "amri"Gwajima si malaika kwamba kila siku ataongea point
Ni mawazo yake
Yaheshimiwe
Bashite ndiye bomuHuyu mchungaji ni bomu aisee
Wewe huna akili kabisa, mbinguni unaenda mwenyewe au unapelekwa na mchungaji?
Yani umekaa hapo umetulia unangoja mchungaji akupelke mbinguni? By the way kuna option ya mchungaji kukupeleka mbinguni ikiwa tu wewe ni mke wake.
Maana biblia inasema mke atabeba madhaifu ya mume na mume madhaifu ya mke katika kuombeana, hao wanaweza kufkshana mbinguni, sasa wewe unataka mchungaji akufikishe mbinguni umekua mke wake?
Kama hiyo ofa unaitaka mimi pia ni mchungaji, i am willing and able to take you there,je uko tayari?
Kwani mchungaji au Imani yako ndo.itakupeleka mbinguni?Wanaoamini huyu mropokaji atawafikisha mbinguni wapimwe akili
IMANIKwani mchungaji au Imani yako ndo.itakupeleka mbinguni?
Waleee nani?Anataka kujaribu kujisafisha tu kwa waleeeee.
Ajisafishe kwani alichafuka na niniAnataka kujaribu kujisafisha tu kwa waleeeee.
Gwajima sasa kakunjua makucha.Utajitawala kwa ukali lakini mwishowe utashindwa.Sasa ni wazi kuwa Gwajima hamtumikii Mungu wa Yakobo.Source Tanzania Daima.My take,je ndivyo Biblia inavyofundisha?
Anaikwepa InjiliGwajima sasa kakunjua makucha.Utajitawala kwa ukali lakini mwishowe utashindwa.Sasa ni wazi kuwa hamtumikii Mungu wa Yakobo.