Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habar wakuu, Ni masaa kadhaa yaliyopita Jeshi la Polisi limetupatia taarifa kuwa wale majambazi waliowaua polisi 8,jeshi hilo limefanikiwa kuua majambaz 4. Lakini cha ajabu miili hiyo ya hao...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wakuu Jamani Kwa anaejua faida anayoingiza Faru Fausta Kwa nchi anijuze Naskia Faru huyu Kwa mwezi anatumia milioni 64 Banda lake lilijengwa Kwa milioni 43 Faru Fausta ni Mzee wa miaka 55...
1 Reactions
3 Replies
955 Views
Jamani Leo nimepita pita youtube kucheki baadhi ya exclusive music nimekutana na hii mkenya kakoment kwenye ngoma ya Harmonise kasema wasafi ipo kwao Nimeishia kucheka tu [emoji1] [emoji1]...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asante, heshima na shikamooo vyombo vyote vya habari ambavyo vinajitambua vinafahamu sheria na taratibu na haziyumbishwi na mtu yeyote. Yule aliyejiona ni mungu wa DAR kwa sasa anapumulia mashine...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa tafadhali naomba msaada wakuelimishwa kuhusiana na mradi huu,ninachopenda kufahamu ni jinsi ya wanavyolipa fidia kwa wakazi waliojenga karibu na barabara au nyumba zinazotazama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hallow poleni na hekahek za pasaka. Ipo miti ya mbaoa aina ya pines inauzwa ipo Mafinga Iringa ina umri wa miaka 9 na zpp ekari 13 asanteni.Aliye penda naomba tuonane PM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Zanzibar limesema kuwa limelazimika kufunga vituo vidogo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutokana kukabiliwa na upungufu wa Askari visiwani hapo. Hayo yamesemwa na Kamishna...
0 Reactions
3 Replies
849 Views
“NILIPOKUWA na umri wa miaka 13, dada ya rafiki yangu mkubwa alitualika nyumbani kwao jioni moja. Kila mtu akaanza kuvuta bangi. Mwanzoni, nilikataa, lakini mwishowe nilionja baada ya kusihiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
salam, unapopewa mtihan wowote lazima uwe na mafunzo na mbinu za kufaulu mtihani huo. kama maisha ni mtihan namna gani tutafaulu angali mtihani wenyewe ni mmojaa wengine tumeachwa bila mbinu na...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Wana bodi salamu. Naamini hapa lilioshindikana kwingine hapa linawezekana. Miaka ya 1996 hadi 1999, nilikuwa napenda kusikiliza Nyimbo za Timoth Ng'winamila, na albamu yake ya Mwana Mpotevu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani naombeni taratibu za kukwapua fedha zangu mfuko wa pensheni wa LAPF kabla ya kustaafu.Miaka ya kustaafu bado mingi sana nataka kuacha kazi niingie mtaani. Asanteni.
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Hii ni wiki ya pili kila nikilala naota Nmekamatwa na Trafic. Leo asubuhi nimeamka naenda kuoga nakutana na jirani yangu nae katoka kuoga kajifunga taulo jeupe na kichwani kavaa mfuko mweusi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JEURI YA MATAJIRI KATIKA MSIBA WA YESU NGOJA NIKUONESHE JINSI "MSIBA WA YESU" ULIVYOENDESHWA "KITAJIRI"(YOH. 19:38-42) 1. Watu wawili waliokuwa Matajiri sana ndio waliogharimia Mazishi ya Yesu...
15 Reactions
42 Replies
7K Views
Mheshimiwa, ntoa malalamiko yangu kuhusu kunyang'anywa kiwanja chenye nyumba, na mama mmoja wa kinyarwanda. Mimi Anatori Rwabudaga wa Nyakanazi, kata ya Lusahunga wilaya ya Biharamulo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kuna wimbo mpya wa Kundi la Joh Makini na G.Nako unaitwa Madaraka ya Kulevya. Wimbo huo una mistari inayofikirisha sana. Baadhi ya Mistari ya Track hivyo 1.Umenipa madaraka ya Kulevya...
16 Reactions
78 Replies
24K Views
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka. Aidha, anawasihi...
13 Reactions
87 Replies
11K Views
Habari, natafuta ajira Nina elimu ya kidato cha NNE pia Nina ujuz was kompyuta, ajira yyte hats supermarket na nyinginezo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti wanajf wenzangu magreat thinker mniambie Lengo la Uzi uuh.
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Yaani sasa hivi bando hata ukijiunga 2GB hata halikai! Hebu acheni hizo bwana maisha yenyewe yako wapi mpaka mnakata bando kiasi hicho? Mtandao wenyewe bado unazngua ila hiyo rate ya kukata bando...
1 Reactions
5 Replies
936 Views
Back
Top Bottom