Habari za jumapili ndugu zangu!
Nina wiki sasa nikitafakari nilichokiona, kukifanyia utafiti kwa uhakiki na kukithibitisha.
Wakimbizi toka Burundi, walioko kambi za Mishamo na Katumba wilaya ya...
Wana JF,
Naomba msaada kwa wenye kujua taratibu za ndege/aviation, nilitaka kukwea pipa toka Dodoma to Dar sasa nimechek ATCL naona nauli 165,000/= (one-way) lakini tunatoka Dodoma to Kigoma kisha...
Wakuu:
Mpaka nakuja hapa nimekuwa nikikerwa na watangazaji wa redio na television kutaja viwango vya ela bila kufafanua utasikia labda wanaongea kuhusu Ethiopia ama Kenya, Japan na kwingineko...
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Onoratus Mwinuka aliyepotea wiki mbili, mwili wake umekutwa umefukiwa kwenye pori la Mlolo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mke wa Marehemu, Frida...
Nimesikitika na kushitushwa na habari aliyotoa dada yetu wa kule ng'ambo kuona wazazi wakiwa wamelala chini pale Muhimbili Hospitali.
Swali langu ni je lile jengo aliagiza jpm litumike kama jengo...
Model mwenye umbo size kubwa anatafutwa haraka.
Sifa
- awe mrefu wa wastani
- awe na tumbo la wastani.
- Size kuanzia 20 kuendelea.
Atume picha yake akiwa amevalia nguo ambazo tutaweza kuona...
Ukisikiliza vilio vya watanzania wengi ambo ni wachimbaji wadogo vinafanana. Wanasema tulikuwa tukilima au tukitafuta kuni msituni tukagundua madini na tukaanza kuyachimbam baadaye DED anaingiloa...
Naona uchungu sana kuona jinsi msitu wa hifadhi wa kagerankanda wilayani Kasulu mkoani Kigoma jinsi unavyoendelea kuteketea.
Watu kutoka sehemu mbalimbali na wengine kutoka nje ya nchi...
Swali la nyongeza limeulizwa bungeni asubuhi ya leo tarehe 18/04/2017, kuwa baada ya UHAKIKI watumishi hewa na kuwapata takribani 20,000/- ni jambo zuri sana,
Lakini mpaka sasa serikali imeondoa...
WALE MNAOFANYA BIASHAR UBUNGO KIMARA MTAKUWA MNANIELEWA ZAIDI
MH RAISI WANANCHI WANATAKA KULIPA KODI LAKINI MKITAKA KODI ZA MABANGO NAZO ZILIPWE MANISPAA NA ZILIPWE TANROADS HUU N UPOTEVU WA...
Habari wanajamvi,
Kuna binti nafahamiana nae, alihitimu diploma ya civil engineering mojawapo ya vyuo vya umma, baada ya kuhitimu, alirudi kwao.
Baada ya muda mrefu kupita nimekuja kuwasiliana...
Nimeambatisha copy ya form ukiangalia heading yake inajieleza wazi.
Mimi ni mmojawapo wa wahanga wa kuchukuliwa kwa ardhi yangu kutokana na mradi wa ujenzi wa barabara kutoka Matema (Kyela , ziwa...
Habari wanajamvi,
Kuna binti nafahamiana nae, alihitimu diploma ya civil engineering mojawapo ya vyuo vya umma, baada ya kuhitimu, alirudi kwao.
Baada ya muda mrefu kupita nimekuja kuwasiliana nae...
Yani wapo kama hawapo vile hebu angalia wizara ya Elim, Afya, ajira na utumishi, na nyingine mzijuazo yupi ambaye ikija tokea baraza Likavunjwa tutamani arudishwe kwenye wizara yake, kairuki...
JB belmont hotel iliyopo maeneo ya posta katika jengo la Benjamini mkapa Tower wameondoa mabango yao,nimeshindwa kuelewa maana yake.Je wamehamia sehemu nyingine au wameisoma number?
Naomba kusaidiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.