Wanaume kama huna Pesa na Unataka usife Mapema, Usifanye Hivi

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura.

Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo kumtambulisha mkewe.

Tatizo linakuje pale huna pesa lakini unataka uweke mrembo ndani. Ndugu yangu, usijidangaje hata siku moja kuwa wapo wanawake wasiopenda pesa na wanapenda maisha ya shida. Hata kama wewe ni Handsome kiasi gani, hakuna mwanamke aliye tiyar kuishi maisha magumu na wewe kisa uhandsome wako. Labda yeye akuowe wewe. Na ukiolewa zipo gharama zake.

Sasa ukitaka kufa kwa presha na ma stress, kaowe mwanamke mrembo na huku unajijua ni kapuku kama mimi apa.
 
Kila mwanamke ni mzuri tofaut yao ni jinsi anavyojiweka. Na kila Mwanamume ni HB kulingana na lifestyle yake
 
Mwanamke mwenye sura ya kawaida ni rahisi kushawishika kuliko ata hao visura,visura wananasa kwa wanaokidhi vigezo vyao,ila hao wakawaida wananaswa na wanajinasisha karibu kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom