Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
Hivi kwa nini wabunge wasipeleke mswada wa sheria Bungeni itakayoibana serikari kwa kila mkataba wanaotaka kuingia
1:waweke sheria kila Mkataba mpya kabla ya kusign serikari inatakiwa kuijadili na kuuweka kwenya gazeti la serikari au tofuti yao ili wadau waweze kutoa maoni yao kama utakuwa na tija kwa Jamii na serikari kwa ujumla.
Kwa nini nasema hivi ni kwa sababu tumeshuudia mikataba migumu iliyoingiwa na serikari inayobana Jamii na serikari kwa ujumla,
Mikataba hii kwa asilimia kubwa inaonekana ni ya gharama na ni chanzo cha umaskini nchini kwetu.
Mfano
1:Escrow
2:Richmond
3:Epa
4:mikataba ya madini
Na Leo hii tunaona kwenye mkataba wa ujenzi wa bomba la gesi Mtwara.
Hii ni mifano michache sana ya mikataba iliyogharimu matilioni ya pesa Pasi na faida kuonekana.
Naamini katika uwazi tutaijenga
Nchi yetu iliyojaa Neema na amani hii ni moja tu ya maoani yangu.
Asanteni.