Assuming Tanganyika ndio inakabidhiwa uhuru wake mwaka 2017, Je, wangekuwa wametumia kodi zetu kujenga flyover, Airports, SGR's na ndege za kutosha, au na wao wangeishia kuwa kama awamu ya pili...
Sasa ATCL imejitanua na kuongeza safari za mikoa ya Mtwara,Songea na Tabora.
Na hizi ndio bei zake kuanzia muda wowote kwenda katika "destinations" tajwa.
ANGALIZO.
Kama unajijua kabisa kuwa uwezo wako wa kufanya CRITICAL THINKING ni mdogo ni kheri tu usichangie huu UZI kwani hiki nilichokiweka hapa kinahitaji utulivu wa hali ya juu mno kukielewa...
Bosi wa Facebook ametoa rambirambi na masikitiko yake kuhusu mauaji ya Robert Godwin ambayo yaliwekwa kwenye mtandao wake. Na kwamba Facebook itaendelea kujitahidi kuzuia vitendo hivyo kwenye...
1 HALICHACHI
2 HATUPIMI
3 HALIISHI
Nimasikitiko makubwa kuona makampuni ya simu yakijitangaza kutoa offer ya vifurushi visivyo na ukomo kama ilivyo hapo juu
Makampuni ya simu yameendelea...
Moja ya mambo yanayoweza kukusaidia kufanikiwa kazini ni namna unavyohusiana na mkubwa wako wa kazi. Huyu ni mtu anayekuongoza, anayetoa maelekezo ya nini kifanyike na wakati mwingine ndiye mwenye...
Takriban mwaka mmoja uliopita kulizuka taharuki kutokana na kuuwawa polisi wetu iwe katika vituo, barabarani au hata katika lindo, pia kukaambatana na matukio ya kigaidi/kijambazi Amboni Tanga...
Mbunge wa Bukombe, Mhe. Dotto Biteko ametoa hoja ya kuahirishwa kwa shughuli za bunge ili Bunge liweze kujadili hali ya mauaji inayoendelea nchini ikiwemo mauaji ya askari polisi waliouawa na watu...
Nikweli Kamati inamipango mizuri kulinga na uwezo na mamlaka iliyonayo lakini ndugu zangu inamaanisha hayo Mauaji yameigusa sana hii Kamati kuliko matukio mengine kama wakulima na wafugaji kuuawa...
Mdogo wangu amepigwa na kutaka kuuawa na Mwl Salumu Kanyame lakini polisi hawajamkamata mtuhumiwa na siku kesi ilipotakiwa kwenda mahakamani anapigiwa simu mtuhumiwa anajibu ninakazi inapangwa...
Nilikua namsikiliza ndugu yangu Katibu mkuu Maji leo pamoja na kuhimiza usambazaji wa maji na kulipa madeni sijui kama anaelewa bei za maji katika jiji hili zimepanda mara dufu kiasi cha kujiuliza...
NENO LA SHUKRANI KUTOKA KWA DC HAPI
Dear comrades,
Tarehe kama ya leo (18 April) mwaka 2016, Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliniteua kuwa Mkuu wa...
watu wengi wakistaafu kazi huwaza mambo ya ajabu sana, utakuta anakwambia nataka nikalime, nifuge kuku, ninunue fuso la mchanga, ninunue daladala, nifungue duka la nguo, nianzishe hotel, nijenge...
Ipi tofauti ya elim bure na elim bila malipo, maana nimesikia serekali ya awam ya tano inatoa elim bila malipo lakini haitoi elimu bure, sijaelewa hapa mwenye kuelewa anisaidie
Watu wengi wa rika langu kuna mambo mengi tumeyasoma tu kama historia ila binafsi sipendi yaje yatokee tena.
Sipendi tena dunia ya leo watokea watu kama Musolin,Hilter,Savimbi...nk
Sipendi Dunia...
Nimekumbuka enzi hizo hasa siku za Ijumaa na Jumamosi - kwa wale vijana wa zamani tulikuwa tunakutana katika kumbi hizi za CINEMA
Empress
Avalon
Empire
Drive in
New Cox
Hakuna hata kumbi moja...
Yaani hapa kuna mambo nafikiria yanavyoenda mpaka natukana matusi ya kichina kiasi kwamba nimemstua paka wangu hadi kakimbia kwa uoga
Embu fikiria jamaa alimtolea bastola Nape tunaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.