Kipindupindu kuibuka soko la Mabibo Dar es Salaam

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,793
27,659
April 10, 2017
KIPINDUPINDU KUIBUKA SOKO LA MABIBO DAR ES SALAAM
Soko la wazi la kitongoji cha Mabibo jijini Dar-es-Salaam katika hatari ya kuzua kipindupindu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Meneja wa soko hilo ametoa ahadi soko hilo kufanyiwa usafi na mitaro ya maji kuwekwa katika siku mbili zijazo ili kuondoa kero na hatari ya magonjwa ya kuambukiza. Habari hii na Star TV Dsm.


Source: Ben Mwanantala
 
April 10, 2017
KIPINDUPINDU KUIBUKA SOKO LA MABIBO DAR ES SALAAM
Soko la wazi la kitongoji cha Mabibo jijini Dar-es-Salaam katika hatari ya kuzua

Natumaini litakuwa safi sasa hivi, kuanzia uongozi mpaka wauzaji ni wachafu sana na inasikitisha.
 
Back
Top Bottom