Rais Magufuli uwe kiunganishi taasisi za umma na binafsi sio kejeli kila siku.

mockers

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
12,806
35,229
Wanabodi.
Kwanza namshangaa Rais wa nchi kuonesha ubaguzi wa wazi kabisa kwa watoa huduma binafsi , amekua na maneno ya kuudhi na kejeli kila akitoa hotuba kwa watoa huduma wa umma , alianza na mabenki mtwara , amekuja kuponda vyuo vikuu binafsi leo anasahau huko kote wameajiri watanzania wengi kuliko hata serikalini.
Ashauriwe maneno ya kusema.
 
Vyuo vikuu haviwezi kuwa na hadhi/status sawa hata siku moja na hilo sio tatizo la rais kubeza me naona anajicheka mwenyewe..kama ilivyo tu ukilinganisha UDSM NA VYUO VINGINE DUNIANIN UTAONA HATA UDSM KIPO CHINI...so hatuwezi kuwa na vyuo vyote nchini vikawa sawa ..kama rais sio kauli inayotarajiwa itoke kinywani mwake
 
Kamsikilize tena alichokiongea, usitake kukuza kama vile aliyoyasema yapo ulivyoandika.

Vya mikato mikato hakuna tena, kama mtu chuo chako kipo vizuri basi wanafunzi watakimbilia kuja kusoma.

Hapa kazi tu
 
KWA MTU MWENYE UELEWA MDOGO UNAWEZA MLAUMU RAIS LAKINI ALICHOKIONGE ni kweli mtupu.... ushuhuda ninao mimi pale nilipochagua option ya kwanza NI UDSM CHA AJABU TCU WAKANIPELEKA RUCO AMBACHO KILIKUWA NI CHAGUO LANGU LA MWISHO KABISA... NAJUA MTAULIZA NILIPATA DIVISION NGAPI?? NILIPATA DIVISION TWO POINT 10 MWAKA 2010... LAKINI SI HABA SASA HIVI NI MTUMISHI WA UMMA!!!!
 
UDSM ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tawi la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.
Tanganyika Law School ni zao la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Kassim Majaliwa UDSM.
Edward Lowassa (Mabadilikooo) UDSM.
Mizengo Peter Pinda (Mtoto wa Mkulima) UDSM.

Twende:
Zitto Zuberi Kabwe (DARUSO President) UDSM.
Malisa GJ UDSM.
Edo Kumwembe UDSM.
K Bazil UDSM.
Jokate Mwigelo UDSM.

Jeshi la Anga (Airforce Command) linapohitaji graduates miaka yote huwa wanakuja COET kurecruit Engineers.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
LIPUMBA UDSM.
BAKHARESA LA SABA.
DIAMOND LASABA.
 
Huu utumbo tu, sijui huwa mnafikiria kwa kutumia uti wa mgongo
 
Vyuo vingine TAKATAKA! Hivi mtu anayefikiri kwa jinsi hii ni product ya UDSM eti! Na kama UDSM ndiyo chuo bora mbona wahitimu wake wengi ni vilaza? Acheni kubagua wenzenu kwa maneno kumbe vichwani mmejaza jina la UDSM.
KIJANA.. Mbojo ALICHOKISEMA MH.RAIS KINA UKWELI 100& VYUO VIMEKUWA VINGI MNO NA VINGINE HAVINA SIFA YA KUITWA VYUO VIKUU
 
Wanabodi.
Kwanza namshangaa Rais wa nchi kuonesha ubaguzi wa wazi kabisa kwa watoa huduma binafsi , amekua na maneno ya kuudhi na kejeli kila akitoa hotuba kwa watoa huduma wa umma , alianza na mabenki mtwara , amekuja kuponda vyuo vikuu binafsi leo anasahau huko kote wameajiri watanzania wengi kuliko hata serikalini.
Ashauriwe maneno ya kusema.
Hapangiwi,, dereve hasikilizi.....basi ni shidaaa tupu
 
Back
Top Bottom