Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Gharama zimezidi kila eneo naomba nitoe mfano wa makampuni ya simu zamani ukinunua bando la muda wa maongezi unapewa na mda wa inter net na sms.
Lakini leo mda wa maongezi una gharama zake inter net gharama zake na hata sms na ukienda katika eneo la kuweka na kutoa pesa hapo ndiyo usiseme.
Gharama zimeongezeka hata kuuliza salio la pesa katika simu kama huna salio huna salio la kukupa taarifa.
Kwenye mabenki nako gharama zimeongezeka unapoandika hundi kwa baadhi ya mabenki unakatwa sh. 3600 ukiachilia mbali gharama za mwezi kwa kweli hali inatisha kitabu cha hundi chenye kurasa mia ni sh. 42,000/=