Habari ya moto moto. Mbichi kabisaHiii ni habari mpya au ya zamani?
wewe tejateja huyo mtendaji si aliuwawa kipindi cha nyuma? au ni mwingine?Mtendaji wa kijiji cha mjawa na mwanakijiji mmoja wameuwawa na wale maharamia walouwa askari nane majuzi.
Hili tatizo ni kubwa mno na serikali na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama , vitumie umakini wa hali ya juu kutafuta suluhisho. Tena mapema ,
Kutakuwa na tatizo kubwa tu la msingi. Haya mambo sio ya kuchukuliwa kwa wepesi hiviTutaideclare a Failed District