illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Huyu jamaa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi hainiingii akilini akiachwa aende upinzani unless kuna sanaa inaendelea.Siasa imemuharibu Hatufai labda akawe mtangazaji eatv au clouds.
Jamaa yuko vizuri sema tatizo roho ya kwanini tu ya Wabunge wa ccm!
Eti wakampigia kura yule wa cuf alivyoongea hadi aibu
Ukiona hivyo hakustahili. Yaani hakufaa kuwa hata kuwa waziri au mbunge. Tatizo la Nchi yetu bado wananchi wanadhani mtu kujua kingereza au kuishi au kusoma nje basi ndio uwezo wa kuwa kiongozi . Uongozi ni pamoja na busara au hekima. Je huyu jamaa anazo pia hatujui kuwa kiingerza ni lugha tu.Huyu jamaa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi hainiingii akilini akiachwa aende upinzani unless kuna sanaa inaendelea.
Pamoja na kingereza angalia vizuri hapo anapozungumza ni kwenye jukwaa la uchumi duniani (WEF)world economic forum ambapo nchi huwa inawakilishwa na raisi na viongozi waandamizi wa maswala ya uchumi, kingine ni kujiamini nchi yetu tuna mapungufu ya kujiamini tunapokutana na mtu wa taifa la nje, sasa kwa poor communication skills mtu anaanzaje kubishana na wale wabunge wakorofi wa Kenya mpaka kuwashawishi kupitisha bomba la mafuta Tanga instead of Kenya.Ukiona hivyo hakustahili. Yaani hakufaa kuwa hata kuwa waziri au mbunge. Tatizo la Nchi yetu bado wananchi wanadhani mtu kujua kingereza au kuishi au kusoma nje basi ndio uwezo wa kuwa kiongozi . Uongozi ni pamoja na busara au hekima. Je huyu jamaa anazo pia hatujui kuwa kiingerza ni lugha tu.
Mbona hujaja na hoja jengefu umekuja na matusi dah nai miss sana jf ya old those days labda tuwambie ma admin waanze registration upya na utakuwa registered baada ya kufaulu online applititude test. Lete wazo chanya kwa maslahi ya TaifaKama umempenda sana, mpeleke kwenu ukamtambulishe kwa Wazazi na wana familia wako!
Kujua kingereza au kuweza kubishana na wabunge wa Kenya still bado sababu ya kuwa kiongozi. East africa haipo kwa ajiri ya Kenya. Kuna nchi zaidi ya 5. Tuache uoga na wakenya. Kila kitu Kenya, Kenya. Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya Kenya. Kuna Rwanda, Burundi, Uganda, ethiopia, south Sudan, na Somalia na congo nao wanataka east africa. Sasa uchague mbunge kisa tu akapige makelele na wakenya. Tafuta sababu nyingine. Kumbuka pia lugha ya east africa ni kiswahili......mfano hai rais wetu wa tanzania Umeona wapi anabishana na watu au anashindana na lugha. lakini si mambo yanaenda na nchi kibao hata hiyo Kenya wanamtamani sana rais wetu tena wako tayari hata wakodishwe . Kiasi hata ukifuatilia hata kampeni zao mgombea anakwambia mimi nitakuwa Magufuli wa Kenya au Uganda. Usiponielewa hapa basi tena.Pamoja na kingereza angalia vizuri hapo anapozungumza ni kwenye jukwaa la uchumi duniani (WEF)world economic forum ambapo nchi huwa inawakilishwa na raisi na viongozi waandamizi wa maswala ya uchumi, kingine ni kujiamini nchi yetu tuna mapungufu ya kujiamini tunapokutana na mtu wa taifa la nje, sasa kwa poor communication skills mtu anaanzaje kubishana na wale wabunge wakorofi wa Kenya mpaka kuwashawishi kupitisha bomba la mafuta Tanga instead of Kenya.
Nimekuelewa na sababu ya kutaja kenya ni mfano tu sikutaka kutaja nchi zote hizo amoja na changamoto zao, hivi hili bunge (EALA) umeshawahi kuhudhuria ama kuliangalia popote? navyo ona kuna uwezekano mpaka bunge linaisha mbunge kutoka nchi kwetu akawa hajajenga hoja, dada yetu alienda kule kupiga piga picha na maraisi ila kwa muonekano wake Aliweza kuwahadaa mpaka kiswahili ikapitishwa kuwa lugha rasmi, yule mwingine nilimpenda mwenyewe alikiri kuhusika na fitna mpaka bomba la mafuta likapita nchini kwetu, bahati mbaya naye amejaa ukatuni wakampiga chini ila hope amebaki kwa kazi maalum kutokana na cv yake...we are talking about diplomacy siyo uchama aise.Kujua kingereza au kuweza kubishana na wabunge wa Kenya still bado sababu ya kuwa kiongozi. East africa haipo kwa ajiri ya Kenya. Kuna nchi zaidi ya 5. Tuache uoga na wakenya. Kila kitu Kenya, Kenya. Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya Kenya. Kuna Rwanda, Burundi, Uganda, ethiopia, south Sudan, na Somalia na congo nao wanataka east africa. Sasa uchague mbunge kisa tu akapige makelele na wakenya. Tafuta sababu nyingine. Kumbuka pia lugha ya east africa ni kiswahili......mfano hai rais wetu wa tanzania Umeona wapi anabishana na watu au anashindana na lugha. lakini si mambo yanaenda na nchi kibao hata hiyo Kenya wanamtamani sana rais wetu tena wako tayari hata wakodishwe . Kiasi hata ukifuatilia hata kampeni zao mgombea anakwambia mimi nitakuwa Magufuli wa Kenya au Uganda. Usiponielewa hapa basi tena.
Bado hujaongea. Hakuna mbunge anayeweza kumshawishi museveni apitishe bomba la mafuta tanzania. Hiyo ni zaidi ya Ubunge. Pia kujenga hoja usikariri kwa kuona au kusikia wabunge wakipiga kelele bungeni. Kujenga hoja sio lazima kuongea. Kuna wabunge wanajenga hoja kuliko hao unaowasikia wakipiga makelele bungeni. Huyu unayemtetea mjengee hoja kwa kumpambanisha na wenzake walioshinda. Hapo ndio ujenge hoja. Achana na uwaziri wake na kingereza chake. Kama uwaziri hata mrema, nape.......walikuwa mawaziriNimekuelewa na sababu ya kutaja kenya ni mfano tu sikutaka kutaja nchi zote hizo amoja na changamoto zao, hivi hili bunge (EALA) umeshawahi kuhudhuria ama kuliangalia popote? navyo ona kuna uwezekano mpaka bunge linaisha mbunge kutoka nchi kwetu akawa hajajenga hoja, dada yetu alienda kule kupiga piga picha na maraisi ila kwa muonekano wake Aliweza kuwahadaa mpaka kiswahili ikapitishwa kuwa lugha rasmi, yule mwingine nilimpenda mwenyewe alikiri kuhusika na fitna mpaka bomba la mafuta likapita nchini kwetu, bahati mbaya naye amejaa ukatuni wakampiga chini ila hope amebaki kwa kazi maalum kutokana na cv yake...we are talking about diplomacy siyo uchama aise.
chadema walikuwa na watu makini ambao hata ccm wangewakubali, mfano prof. Baregu prof.safari lakini wakaachwa, wapo vijana wachapakazi kama salum mwalim huyu kabla ya kuingia siasa alikuwa mhadhiri wa chuo kikuu lakini kaachwa, wamepeleka mwalimu wa english medium na mpiga dili wa mjini hapo hakuna chochote zaidi ya maslahi binafsi.Nimekuelewa na sababu ya kutaja kenya ni mfano tu sikutaka kutaja nchi zote hizo amoja na changamoto zao, hivi hili bunge (EALA) umeshawahi kuhudhuria ama kuliangalia popote? navyo ona kuna uwezekano mpaka bunge linaisha mbunge kutoka nchi kwetu akawa hajajenga hoja, dada yetu alienda kule kupiga piga picha na maraisi ila kwa muonekano wake Aliweza kuwahadaa mpaka kiswahili ikapitishwa kuwa lugha rasmi, yule mwingine nilimpenda mwenyewe alikiri kuhusika na fitna mpaka bomba la mafuta likapita nchini kwetu, bahati mbaya naye amejaa ukatuni wakampiga chini ila hope amebaki kwa kazi maalum kutokana na cv yake...we are talking about diplomacy siyo uchama aise.
Mbona hujaja na hoja jengefu umekuja na matusi dah nai miss sana jf ya old those days labda tuwambie ma admin waanze registration upya na utakuwa registered baada ya kufaulu online applititude test. Lete wazo chanya kwa maslahi ya Taifa
Kwa com hao ndo watu makini waliobaki? Kazi tunayo!chadema walikuwa na watu makini ambao hata ccm wangewakubali, mfano prof. Baregu prof.safari lakini wakaachwa, wapo vijana wachapakazi kama salum mwalim huyu kabla ya kuingia siasa alikuwa mhadhiri wa chuo kikuu lakini kaachwa, wamepeleka mwalimu wa english medium na mpiga dili wa mjini hapo hakuna chochote zaidi ya maslahi binafsi.
Labda nikuibie tu siri, kwa mhuhtasari kuna fitna ya maana ilifanyika mpaka bomba la mafuta likapita Tz badala ya Kenya, kweli ilikuwa ni zaidi ya ubunge kwani hata nchi za kimataifa zilihusika ila direct persons walikuwa wawakilishi, viongozi waandamizi wa Kenya walizuiliwa mpakani wasihudhurie mkutano uliokuwa unafanyika Tanga walicheleshwa wakaja kurudishiwa passports zao baada ya mkutano kumalizika, kusoma nje siyo ushamba kuna wanafunzi wengi sana kutoka G8 wanasoma UD unadhani lengo ni nini? simtetei sana siwezi kujua siri za ndani kama ana harufu ya usaliti pia anaweza kuwa mtu hatari. Kwa nafasi nyeti aliyowahi kushika nchini.Bado hujaongea. Hakuna mbunge anayeweza kumshawishi museveni apitishe bomba la mafuta tanzania. Hiyo ni zaidi ya Ubunge. Pia kujenga hoja usikariri kwa kuona au kusikia wabunge wakipiga kelele bungeni. Kujenga hoja sio lazima kuongea. Kuna wabunge wanajenga hoja kuliko hao unaowasikia wakipiga makelele bungeni. Huyu unayemtetea mjengee hoja kwa kumpambanisha na wenzake walioshinda. Hapo ndio ujenge hoja. Achana na uwaziri wake na kingereza chake. Kama uwaziri hata mrema, nape.......walikuwa mawaziri
Hoja mezani.Hiyo aptitude test wewe ndiyo utapita?
Swali la kizushi...... ukiondoa kingereza chake je unadhani una sababu nyingine ya kudhani anafaa kuwa mbunge wa east africa?