Nawashangaa wanasiasa na ahadi za uongo

ki2kizito

Member
Nov 28, 2016
60
41
Habari za kushinda wanaJF,

Imekuwa ni kawaida ya wanasiasa wa hapa kwetu kuahidi mambo makubwa wanapokuwa kwenye mikusanyiko mbalimbali kama vile majimboni, vijiweni na sehemu zingine, lakini wanaahidi wakijua kabisa kuwa mambo wanayoahidi hayawezekani.

Hivi wanakuwa wanatujaribu sisi tunaoahidiwa au ni sehemu ya maisha ya siasa?
 
Back
Top Bottom