Kivuko cha MV Ukara

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
2,202
1,227
wakuu kuna taarifa ya kuwa Kivuko cha Mv Ukara kimezimika Engine zake kikiwa katikati ya ziwa Victoria huko geita hebu wenye taarifa tupeni update kinachoendelea huko.........Mungu awalinde wote......................


Source Radio one
 
ni ukerewe sio geita, nimeongea na watu wa ukara wanasema ni kweli kilizima engines zake na kikachukua masaa ma4 kufika kisiwa cha ukara kutokea bugorora ukerewe wakati ni umbali wa saa 1 tu, geita na ukara ni pande 2 tofauti, unless kuwe na kisiwa kingine huko geita kinaitwa ukara ambacho sikifahamu
 
Back
Top Bottom