Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Habali wapendwa wote mlio wema na msio wema nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hawa wanaoitwa wachawi kama mshana jr kitu gan huwasukuma kuloga watu, kwanini huroga watu na inabidi uweje ndo wakuroge nan washamuloga ukaamini karogwa na hawa wababe wanaoitwa wachawi
Faida yao kuu ni nini hasa pale wanaporoga na hasara yao kubwa nini pale wanaporoga maana kila kila kitu kina faida na hasara
Na hawa wachawi waliibuka kutoka wapi na lin wameanza kufanya uchawi wao je wana dini hawa watu
Naomba kuwasilisha balikiwen sana