Bongo movie, adui yenu mkuu ni serikali

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,143
4,724
OK, bongo movie wajiulize ni kwanini movie zao zimeshuka sana kimauzo katika awamu hii ya tano? Kwa akili zao fupi (ndio maana wamemkimbilia bashite) eti wanajidanganya kuwa ni kwa sababu ya movie za Ughaibuni.

Hawajui kuwa adui yao Mkuu ni serikali akiwepo Bashite mwenyewe serikali ya awamu ya tano imejaa maigizo ya kusisimua kuliko bongo movie.

1. Mkulu ni full maigizo bandarini kila siku, Mara anapenda Shilawadu, Mara dume suruali inafikia kipindi anatengeneza movie ya Gwajima akishirikiana na mwanaye na kutaka kuirusha Shilawadu bila kulipa kodi mkulu kutojua kingereza ni igizo jingine akienda kanisani anavyojinyenyekesha kama mtu mwema anawazidi kina JB na Majuto kwa kuigiza.

2. Bashite ndio usiseme hata hayo maandamano tu ni maigizo tosha, kawafunika. Hata siku moja bongo movie hawajawahi kuigiza maandamano yenye watu wengi vile. Bashite anaigiza hadi movie za kivita, walinzi wake wanamtishia waziri bastola (bongo movie wanatoa bastola za watoto, serikali inatoa ya ukweli)

3. Majibu ya mwigulu kila siku kwa ishu zinazoendelea kuhusu usalama wa raia ni zaidi ya maigizo ya bongo movie (tena hadi majuto hamfikii)

4. Huyu mwingine, tukiwa tunakabiliwa na uhaba wa dawa na chanjo, yeye anahangaika na mashoga.

5. Mwakyembe kapewa wizara ili aigize coz hajui chochote.

6. Ali Hapi naye akiamua anaigiza kama mgambo.

7. Tuna waziri Mkuu anayejali wanyama kuliko watu.

8. Bifu la jamuhuri na tundu lissu

9. Filamu wanayoiratibu ya lipumba.

10. Madokta na maprofesa Wa ajabu kabisa kuwahi kutokea (wanaigiza)

N.k n.k

Uzuri movie za serikali ni bure kabisa. Bora hata hizo za nje tunanunua.

Kwa ushindani huu mtamuuzia nani upuuzi wenu?
 
Sielewi ambacho umekiandika dhumuni lilikuwa bongo movies au makosa ya serikali maana kichwa cha habari na maelezo yanatofautiana kabisa,mf magufuri anahusika nini kupiga simu shilawadu na sula la bongo movies kuna vilaza wa kawaida ila we umefika kiwango cha kuwa kilaza levo ya phd
 
Pit

Pita kushoto Mkuu, in short ni kuwa serikali INA maigizo mazuri zaidi na ya kusisimua kuliko bongo movie. Pole kwa kukurupuka
 
Back
Top Bottom