queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 429
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui