Amwaga zege kwenye gari aliyomzawadia mpenzi wake baada ya kuachana

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Baada ya jamaa kukorofishana na mpenzi wake waliyedumu kwa miaka 2 na nusu kumkomoa akaamua kumwaga zege kwenye gari aliyompa.

WhatsApp Image 2017-04-13 at 1.37.06 PM.jpeg
 
Yeah...mahabati mara nyingine yanatufanya tuwe hamnazo kumkichwa,tuachane kwa wema,tukikutana tusalimiane....
 
Back
Top Bottom