Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana kulitokea taarifa ya kuwahitaji wafanyakazi wote makao makuu na wa Mikoani kuwakilishwa na viongozi wao. Kikao kimemalizika kwa neno kutoka kwa MD kwamba zaidi ya wafanyakazi 100 kupunguzwa...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata msanii, Agnes Gerald maarufu kama Masogange kwa kushindwa kuhudhuria kwenye kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili. Hati hiyo...
3 Reactions
25 Replies
9K Views
Ukinambia walienda pale pasipo mwaliko wowote kutoka ikulu au ofisi ya Mkuu wa Mkoa nakataa Kabisa. Nina hakika wale wasanii wote wa bongo movie walienda pale kwa mwaliko maalumu. Swali langu ni...
15 Reactions
92 Replies
11K Views
Kuna uzi nimepitia humu JF unaeleza kuwa ajira za TRA ni utajiri na neema mpaka mkoani kwenu. Wamefikia kusema kuna kabila lilitajirika kwa kuajiriwa TRA wakajipelekekea Maendeleo ya Maji, Umeme...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari vipi wandugu, Hebu tubadilishane mawazo kidogo najua katika maisha kila mtu ana njia yake ya utafutaji lakini kuna kazi zingine moja kwa moja zinajulikana ni za kike katika jamii...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Salama jamani, n matumaini yangu kwamba ubuheri wa afya tele.Mm pia sijambo, napambana na joto la Dsm, mji wa Makonda, Paul. Nimejiuliza sana haya mambo makuu mawili kuhusu mmea/zao bangi:- 1...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wandugu dogo anashuka lecture za hesabu na Physics balaaa,kwa level ya uelewa anafaa kuwa Manager ktk taasisi yoyote,very CLEVER BOY utafikiri Newton Duuuuuuuuuu
13 Reactions
222 Replies
27K Views
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde-CCM ameishauri serikali kuanzisha dawati maalum litakaloshughulikia upotevu wa watu nchin i-
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa wataalam wa saikolojia ya mafanikio adui mkubwa wa mafanikio ya binadamu huwa ni hofu na woga wa kuthubutu unaoigubika akili yake. Hili limethibitika katika ujasiri wa madaktari...
2 Reactions
4 Replies
755 Views
WATAALAMU wa Kilimo na Afya wamesema kuwa vifo vingi husababishwa na ulaji hafifu wa matunda na mboga za majani huku wakihadharishwa kuwa ulaji wa chipsi mayai unachangia unene unaosababisha vifo...
1 Reactions
5 Replies
10K Views
Hii ni kazi ya miezi minane kwa bajeti ya bilioni 10. Kuna baadhi ya watu ambao mindset zao ni rushwa/ufisadi hawakubali au kuamini kama bilioni 10 inaweza kutumika na kuleta matunda...
20 Reactions
185 Replies
42K Views
Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) yaani Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji ni shirika la uma lililoundwa na serikali kwa sheria ya bunge ya waka 1975 kama sikosei. Bonde la...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mamlaka zinazohusika kutoa maamuzi ziwe makini kwani baadhi ya maamuzi yao hayana tija yoyote kwa wananchi bali yanawaumiza tu. Mfano 1: Barabara ya Uhuru, toka mnazi mmoja hakuna kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Wakinga, Wakurya, Wasukuma, Wameru, Wanyaturu, Wakara, Wanyambo, Wahangaza na Wahaya wachache sana watanielewa. Tusiwe waoga ili isijekututia ukichaa najua wanachama ni wengi. Kumbuka viroba...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Asilimia 62 ya wanaume na asillimia 40% ya wanawake duniani wamekiri kutonawa mikono pindi wanapotoka chooni. Hali hiyo inapelekea 80% ya maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya tumbo. Watanzania...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nixon wa USA,what a brief notification! Trump anaweza kuiga mfano huu?!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vip tukaiga na sisi ili tupunguze gharama za sensa na takwimu mbalimbali kama kujua idadi ya vifo, magonjwa mbalimbali yanayowakumba watu bila kwenda hospitali, kupiga kura bila kwenda kituoni...
0 Reactions
12 Replies
869 Views
Wanajamvi, Hawa jamaaa baada ya kukata watu asilimia 15% wamekaaaa kimyaaaa hahahaha wanafukiri ndo wemefukia mashimo wa hela walizokula kama wanafunzi hewa. Ukweli uko pale pale watu kibao...
1 Reactions
0 Replies
613 Views
Back
Top Bottom