mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Tangu nimeanza kufanya online pyrchases sijawahi kukutwa na janga la kunihuzunisha.
Mi huo naenda kwa machale. Mzigo ukiwa ghali naacha kama naweza kuusplit nanunua nusu ukifika namalizia nusu ingine.
Kwa kifupi jamaa hawa sijawahi kuwatumia zaidi ya dola 100. Kuna watu wana mkono mzuri wanatuma mpaka $1000 na mali zao zinafika.
Mwenzetu hapo kwenye video (Mzungu wa huko sjui wapi ) yamemkuta baada ya kutuma $900 anunue sim aina ya Nexus na kudhulumiwa