Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Habali zenu waungwana wa jukwa hili pendwa hakika yesu ni mwema sana maana yeye ndo bwwna na mwokoz wetu hakika ukomboz uko upande wetu mbalikiwe sana
Nisitake kuwachosha sana waungwana wangu lengo langu ni moja tu dunia ya leo iko mbali kitekinologia maana hadi kuna meli na mandege yasiyoonekana kwenye rada je dunia yetu hii imeshindwa nini kututengenezea mabasi yasiyo onekana kwenye tochi maana usumbufu ni mwingi sana njian kwa mnaosafili nazan mumenielewa mabas hayatembei kabisa ni michosho ya hatari
Dunia yetu hii imeshindwa nini kututengenezea mabas yasiyonekana kwenye toch watalamu wetu wa kimagharibi wanasubili nini kwa hilo
Naomba kuwasilisha balikiweni sana nawacha na wimbo ya mtakatifu kizito yesu ni mwema
ASANTEN