Athari za kutimua machangudoa Dar

Athari za kutimua machangudoa Dar

vevenononombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
1,289
Reaction score
421
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo

1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote

2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo

3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa

4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu

5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato

6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo

7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
 
Ukibaka na kulawiti miaka 30 jela
Ukiwa shoga utachomwa moto
Ukikamatwa unafanya hadharani uwazi wanakuaibisha

Kuondokana na yote hayo oa
 
Mimi natazama jambo hilo kwa nyuzi nyingine mimi ni baba wa watoto Kadhaa hivi
 
wazee wa machangudoa...vp cku hz au hali tete hakuna kununua machangu
 
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo

1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote

2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo

3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa

4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu

5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato

6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo

7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
Aiseee kweli
 
Kama mtoa thread ni baba wa familia, familia hiyo ni hatari namuonea huruma mwanamke mwenzangu kwa kupata mume
 
HAYO YOTE Mleta mada umechemsha. Watu hubadili tabia kufuata mazingira. Hao machangu walikiwa wanaleta mazingira potofu
 
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo

1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote

2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo

3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa

4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu

5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato

6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo

7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
Wanatakiwa wakaanzishe madanguro Dodoma, wanashindwa tu kuwaambia.
 
Ni kwamba wake za watu watashawishiwa na kutoka sana nje ya ndoa.
WATAGONGWAJE???
 
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo

1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote

2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo

3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa

4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu

5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato

6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo

7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu
So wewe unaona machangudoa wanafaida? If your answer is yes then uko tayari either mama yako au dada yako au shangazi yako au binti yako akajiuze.
 
We unadhani uchangudoa ni accidental phenomenon?
 
Back
Top Bottom