Nammega yeye, aliyemsindikiza nammega hilo begi alilokuja nalo nalimega, gari alilopanda kuja nyumbani nalitafuta nikilikamata nalimega, dereva aliyeendesha hilo gari nammega, njia aliyotumia kujia naimega yaani chochote kilichomsaidia kurudi nyumbani namega.
Hata nauli aliyotumia.