fastum
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 337
- 220
Jamani mimi nimevumilia hadi sasa nimeamua tu nije humu niwape hii taarifa,Kila mara Raisi wetu anasema anataka nchi hii iwe ya viwanda pamoja na Professor Muhongo kasema mtwara kuna umeme mwingi sana hadi wenyeji hawawezi kuumaliza hizo Megawatts wanazo sema. ila sasa kwanini kila siku lazima Mtwara umeme ukatike masaa 6 hadi 12 kwa siku? pia wanainchi hatupewi taarifa kama utakatika au kama wanamatengenezo yoyote.
Kwanza hapa mimi naona sasa labda huyu Maneja kazi hawezi au anakiburi cha kutojali wananchi kwamba wahaki ya kuambiwa kinachoendelea,tena cha ajabu zaidi kuna laini flani ndo inaonewa sana ambayo ndo ndani ya wiki moja lazima wakate mara tano kwa wiki.
MUHESHIMIWA RAISI POMBE MAGUFULI TUMBUA HILI JIPU LA TANESCO MTWARA