NKULIKWA JICKSON
Member
- Apr 14, 2017
- 40
- 3
Mimi MWL.Ajira mpya! Msaada wenu.
fanya kazi leo 21 unadai mshahara?Mimi MWL.Ajira mpya! Msaada wenu.
Hii sio haraka bali ni kiherehereMimi MWL.Ajira mpya! Msaada wenu.
Kuna kitu nasikia wanaita salary alert.. jiunge na hiyo huduma kila mzigo ukiingia unatumiwa sms..alafu siku hizi unaweza kuaccess huduma ya benki online..si uangalie salio kwa kutumia mobile banking services mkuu? au upya ajirani hata hizi mambo hujazifahamu na ndo hata akaunti ya benki ndo unaanza kufungua sasaMimi MWL.Ajira mpya! Msaada wenu.