mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Vipi nyie mliomua kukumbatia vichaaTokea CHADEMA waamue kuwakumbatia mafisadi, hakuna mtu nwenye akili timamu anayewasikiliza tena.
Tokea CHADEMA waamue kuwakumbatia mafisadi, hakuna mtu nwenye akili timamu anayewasikiliza tena.
Point Mubashara sana. Huyu ni mwanamke wa nguvu kuliko harmorapaNi mbunge gani huyo?Naona anamwaga points!