Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi nchini Kenya wanawashikilia Watanzania 6 kwa tuhuma za ugaidi. Wamekamatwa Garisa na inasemekana walikuwa wakielekea Somalia Kujiunga na magaidi wa Al Shabab. Wameshikwa wakiwana silaha...
0 Reactions
88 Replies
14K Views
Tarehe kumi na tatu ya mwezi huu nilinunua kifurushi cha mb cha shilingi elfu tano kupitia account yangu ya Tigo pesa, lakini hakijafika kifurushi na pesa yangu mmechukua. Nikaona rabda kitakuja...
0 Reactions
4 Replies
782 Views
Kwa takribani mwaka mzima uhamisho kwa watumishi wa umma umezuiliwa. Kwa kuwa haijulikani ni lini utaruhusiwa, mimi nashauri ni bora kwa wale walioomba kuhama kwa sababu za kiafya wakahamishwa tu...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Baada ya kupitisha katazo la kutonunua filamu za nje hili kuruhusu Bongo Movie ipate kupaaa na kukonga nyoyo za watizamaji ... Njooni mtupe mrejesho kama mifuko imeanza kutuna kwa note na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo lililo wazi ya kwamba moja ya vitu vinavyopelekea sisi watanzania kushindwa kupiga hatua katika maisha yetu ni kukosa maarifa ua uongozi bora. Kwa sasa tuna tatizo kubwa sana la kiuongozi...
4 Reactions
14 Replies
6K Views
Navyojua mimi Professor ni jina la kiualimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida.
13 Reactions
77 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, Mimi ni mnunuzi mzuri sana wa bidhaa za mtandaoni sana sana ebay. Leo katika pita pita zangu nikakuta kuna necklace imetengenezwa kwa sarafu yetu ya Tshs 1 ya mwaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The attack on Clouds Media Group offices was a blessing in disguise for TBC!!.....naona sasa amehamia nyumbani......
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamano na matamko mengi kuhusu kazi za bongo movie na movie za nje (kikorea) lakini watu hawa wanaoandamana walikosa uwakilishwaji mzuri wa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbune wa Jimbo la Buyungu, Wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Mheshimiwa Kasuku Bilago wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ahoji cheti cha Bashite kina nini? kwanini kinafichwa tuu...
2 Reactions
75 Replies
11K Views
Mauaji ya kutumia silaha za moto yameendelea kushamiri nchini,baada ya mfanyabiashara mmoja mjini Singida kufariki dunia baada ya kupigwa risasi ya bunduki aina ya bastola wakati akitaka kuondoka...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani msaada, Kwa watumiaji wa hii application mimi nimetapeliwa hela na mtu na namba yake inapatikana mpaka sasa. Hivi naweza kutumia hiyo application ili niweze kujua location ya huyu mtu ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwenendo wa utekaji nchini, na tukio la Makonda kuvamia clouds fm alafu kumbe movie anazoangaliaga jamaa ni za namna hii lazima kuna kitu hapa !!!
3 Reactions
4 Replies
901 Views
Wakuu Wasalaam, Ninauliza hivyo kwa sababu kila mwisho wa Mwezi kuna watu wanapanga mstari kupokea hizi pesa lakini hali zao za maisha tunazifahamu. Kimaisha wako vizuri na hawastahili kupokea...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Mwenyekiti wa bodi ya Parole, Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Yaani hili swali huwa najiuliza sipati jibu,Hakuna shule yeyote wala chuo chotechote nimewahi kusikia duniani kinatoa cheti au Degree ya mitusi. Nastaajabu sana binaadamu tuna misamiati mingi ya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisoma hili gazeti linaloitwa Sauti Huru, gazeti la jana, nliyoyaona humo mpaka nikatamani nicheke kwa sauti kubwa!!! Hivi hili gazeti ndo kawaida yake kuandika hivi au..!??(maana...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…