Wasanii wa Bongo Movie njooni huku...

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,367
2,219
Baada ya kupitisha katazo la kutonunua filamu za nje hili kuruhusu Bongo Movie ipate kupaaa na kukonga nyoyo za watizamaji ...

Njooni mtupe mrejesho kama mifuko imeanza kutuna kwa note na Dollar..

Je katazo limeanza kuzaa matunda ?
Karibuni
 
Back
Top Bottom