Salamu wakuu, poleni na majukumu.
Kuna mambo yamekuwa magumu sana kwangu kuyakamilisha.Ni mengi sana na yanataka pesa kila siku na gharama za maisha zinazidi kupanda:-
1. Kuhudumia familia...
Kiukweli inauma sana mtu hukatwi na bodi ya mikopo basi kaa kimya, 15% inatuuma sana. Kuna watu hawakatwi mpaka leo sijui wameachwa kwa makusudi au ndio bahati yao. Wanatupa wakati mgumu sana...
Ndiyo ukweli. ni kama kufananisha sahani na bakuli. ziwa victoria ni pana na shallow kama sahani wakati Tanganyika ni deep kama bakuli. hili limefanya tanganyika kuwa na km za ujazo za maji 18,900...
Ninajua Rais wetu ni mpenzi wa wanyonge, kila MTU anafahamu hilo, kuna MTU anaitwa Baraka huyu ni Mungu kwa hii kata. Anafanya anacho taka kisa anapesa, anashika watu ovyo, akisikia kuna eneo...
Habari za wakati wanajamvi.....
Leo katika pita pita zangu nikapita karibu na shule moja ya msingi hapa Tanzania, nikasikia wanafunzi wakiimba huu wimbo wa Kizalendo.... "TANZANIA NAKUPENDA."...
Habari za kuamka wakubwa na wadogo,
Ni habari ambayo ni ya kweli na ya uhakika kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mshahara huo umeongezeka kwa ahadi ya mheshimiwa rais wa Zanzibar ambayo aliitoa...
Mitandao imetuharibu sana watu wanatukana, wana andika maneno ya uchochezi bila kuelewa athari zake Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo hazina travel advisory nimefanikiwa kutembea nchi...
1. Lazima ikaguliwe nyumba moja baada ya nyingine kuwabaini wahusika.
2. Kuwepo na vizuizi toka kijiji kimoja kwenda kingine kwa ukaguzi makini.
3. Pia mabalozi wa nyumba 10 waeleze kama...
EWE MWANADAMU AMKA ! ACHA KUSHUPAZA SHINGO, MUNGU YUPO , NA SIKU YA HUKUMU IPO.!
UTANGULIZI: UWEPO WA MUNGU.!
Hatma ya Mwanadamu imefanywa kuwa siri kubwa, isipo kuwa kwa wachache wenye Imani juu...
Waswahili wanasema ukitaka kula nyama ya mbuzi chagua aliyenona haswa.
kwenye shughuli ya uwekezaji unahitaji umakini sana pale unapoamua mahali kwa kufanya uwekezaji!
Watu wengi wamekuwa...
Wakati wa ukoloni tuliweka katika makundi ya Watu weusi, weupe na waasia; baada ya kuanza kupigania uhuru kukawa na kundi lingine la wanaopinga serikali! Sheria mbali mbali zikaundwa kuwaweka...
Mzee huyu anaitwa Nyamhanga Saguta kutoka Tarime Mara.
Lengo lake ajue kusoma , kuhesabu na kuandika ili aboreshe biashara yake ya ndizi kwani amethulumika sana. Hii ni hasa pale anaposhindwa...
HESHIMA KWENU WANAJUKWAA.
Mnamo mwaka 2000 mwezi February tukiwa shamba kwa kilimo cha mpunga katika wilaya ya Kilombero(Ifakara) maeneo ya Mchombe mashambani sehemu inayoitwa Simbagungile...
Wamerudi locations kwa kasi,watanzania mtarajie mapinduzi makubwa na vitu vikali
kuwa mzalendo,support filamu za nyumbani
Shukrani nyingi kwa mheshimiwa DAB kwa kuhakikisha films za nje zinazuiwa...
Wakati wanasayansi wenzetu huko Iran, Korea, Marekani, Russian wanajivunia technolojia za kutengeza operating system zao, technologia zao za kivita, mitambo ya kisasa. Lakini sio huko wenzetu...
Kwa utafiti wangu usio rasmi, Karibu asilimia 80 ya waumini wanaoingia makanisani na Misikitini pamoja na viongozi wengi wa DINI Hawana Imani na Mungu kama neno Mungu lilivyoshamili vinywani mwao...
Hivi kuna umuhimu wa mvua kunyesha Dsm kweli? Kwa kigezo cha maji ya kunywa yanaweza kutoka Ruvu yakahudumia wakazi wa Dsm.
Otherwise n uchafu na kero tupu mvua kunyesha Dsm. Hawalimi, hawapandi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.