Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Wakati wanasayansi wenzetu huko Iran, Korea, Marekani, Russian wanajivunia technolojia za kutengeza operating system zao, technologia zao za kivita, mitambo ya kisasa. Lakini sio huko wenzetu Kenya wanajivunia technolojia kugundua technolojia ya mpesa, ukienda Rwanda utasikia wana technolojia yao ya kukusanya kodi walioitengeza wao?
Je sisi kama wataalamu wa Tz tuliopitia masomo magumu kama PCB, PCM, PGM na CBG sio hivo tuu bongo tuna wasomi wengi wa IT, Computer science, Electrical Enginering, Mechanical, Gas, Telecomunication etc lakini hadi leo sijafahamu ni technologia gani tunayoweza kujivunia kama wenzetu wa nje.