Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Salamu wakuu, poleni na majukumu.
Kuna mambo yamekuwa magumu sana kwangu kuyakamilisha.Ni mengi sana na yanataka pesa kila siku na gharama za maisha zinazidi kupanda:-
1. Kuhudumia familia (kuvaa, kula, kodi ya nyumba, ada za watoto, bili za maji & umeme, vocha za simu, nauli za kwenda na kurudi kazini)
2. Kusaidia ndugu, wakwe na familia ulikotoka
3. Kushiriki shughuli za kijamii mfano harusi, send off, kitchen party, misiba nk.
4. Kukaa na wenzio mtaani huku mkiendelea kupata moja moto ,moja baridi pamoja na nyama choma au vipapatio
5. Kuanzisha mradi au miradi ya kujiingizia kipato nje na ajira yako ya sasa
6. Kujenga nyumba nzuri ya kuishi, kuwa na gari ya kutembelea hata tu kaVits, IST ,Starlet nk
7. Kuwa na rafiki nje na familia ambaye anakuwa mtuliza mawazo na aliyetulia.
Sasa basi, wewe mwenzangu umawezaje haya mambo yote na bado uko mjini hapa Daslam ukidrive Harrier au Kluger V bila tabu?
Sipati picha wanaotafuta ajira huko mtaani ambao n graduates maisha yamekaaje vibaya jamani.