Nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mkuu wa mkoa wa Dar amezuia biashara ya Kuuza DVD zenye picha mnato (movies) zá nje ya nchi, mfano zile za kikorea, kihindi, kifilipino nk.
Nilichunguza...
Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho.
Huko Sirari Mkoani Mara Mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la kwanza mara tu baada ya kuhitimu...
Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika Daraja la Mlalakua Barabara ya Mwai Kibaki hii inayotoka Morroco kwenda Kawe na Mbezi, limepata hitilafu hivyo...
Hospitali ya Bugando ni hospitali kongwe na kubwa hapa Tanzania.
Ni hospitali ya rufaa katika mikoa yote ya kanda ya ziwa na mikoa ya jirani.
Cha ajabu na cha kusikitisha hospitali kubwa kama...
Naona kama watanzania wengi hawajaipa kipaumbele siku hii ya tarehe 25 April ambayo kila mwaka wanaharakati duniani wa kupambana na ugonjwa huo huidhimisha.
Pengine tuko bize na maandalizi ya...
Wananchi wenzangu.
Najua tunapenda kushabikia bahati mbya Mimi sio muumini saaana wa kushadadia siasa.soka wala migogoro Kama ccm vs chadema, Yanga vs Simba na ama Korea ya kas vs USA. Napenda...
wasalaam,
baada ya salamu, niwataarifu kuwa nimefika kwa mara ya kwanza katika maisha yangu katika mkoa huu, nipo kigoma mjini na nitakaa kwa muda usiopungua miezi miwili ndani na nje ya mji...
Habari..
Ningependa kuwataarifu wazazi wenzangu kama mimi kuhusu tatizo kubwa linalowapata wazazi wa awamu ya kwanza(first timers) kuhusu swala la uzazi katika hatua yote ya kujifungua mpaka...
Baadhi ya wasanii wameandamana wakitokea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar kuelekea Kariakoo kwa lengo la kupinga uingizwaji wa filamu kutoka nje.
Wadau kwa uelewa wangu naona hili si sawa. Wasanii wa...
SERIKALI wilayani Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma imepiga marufuku shughuli zote za jando na unyago kufanyika wakati wa masomo na kuagiza kuanzia sasa shughuli hizo zifanyike wakati wa likizo ili...
Wakatabahu
Nahisi yapo mambo ambayo ni mapokeo (Traditional) na tumeendelea kuyakumbatia bila kuzingatia mazingira ya sasa
Mojawapo ni hili la vikao ya Harusi ambavyo mfululizo wake huendana...
Wananchi wenzangu.
Najua tunapenda kushabikia bahati mbya Mimi sio muumini saaana wa kushadadia siasa.soka wala migogoro Kama ccm vs chadema, Yanga vs Simba na ama Korea ya kas vs USA. Napenda...
Kuna watu wamepanda vyeo kwa fitna na kuwageuka na kuwasingizia wenzao
Kuna watu wako radhi hata kuchonganisha wafanyakazi wote maeneo ya Kazi
Kuna wengine wanapenda kuogopwa hata kama hakuna...
Mh. Rais samahani kuwasiliana na wewe kwa njia hii ya mtandao maana kukufikia ana kwa ana si jambo rahisi.
Mimi ni mama mjane ninaishi mbezi beach Dar es salaam na watoto wangu. Benki ya...
Watatu mikononi mwa polisi kwa uvamizi mkutano wa CUF
Kwa ufupi
Akizungumza na waandishi wa habari leo (Jumatatu) Sirro amesema shauri la kesi hiyo limekwishafunguliwa na upelelezi unaendelea...
Leo ni siku ya kuadhimisha Ugonjwa wa Malaria Dunia ..Ugonjwa unaongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto.
Ujumbe kwa jamii tupambane na mbu,mazalia yake,kuweka mazingira ktk hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.